Sio kitu kibaya ukilinganisha na uchafu mwingne unaotoka kwa weupe.Kwa Afrika wanayahitaji? Au wameona Afrika ndo damping area ya hayo Makontena? Kwani walipokuwa wanajenga huo uwanja Kuna Nchi za Kiafrika zilitoa ombi la kusaidiwa hayo Makontena? Kwa yataletwa kama msaada Afrika kwa ajili ya Nini? Kichwa kinajiuliza maswali mengi sana aisee?[emoji848][emoji24][emoji2827]
Huyo wa kwanza ni nyerere au?
Kasome zile laana kwenye kumbukumbua torati... Utaelewa wapi tulikoseaWhere did we go wrong. It is said that the early humans were from Africa.