KABLA HAJAUAWA MIAKA 12 ILIYOPITA SIKU YA ALHAMISI 20/10/2011, GADAFFI:
Alisema
"Sitaenda kuishi mbali na nchi yangu, Nilizaliwa hapa Libya, na nitafia hapa Libya.
Hapo awali Libya ilikuwa ni ardhi yenye jangwa, lakini baadaye niliifanya kuwa msitu ambao kila mmea sasa...Ninyi raia wa Libya mnasaidiwa mpambane na mimi, lakini mimi nitakuwa mwema mno kwenu na nitapambana nao kwa sababu wanalengo la kuangamiza mustakabali na maendeleo yenu Wana Libya.
mataifa ya Ulaya na Amerika wanawasaidieni ili mniue mimi, lakini mutalipa gharama ya kifo changu kwa sababu mutataabika maisha yote".
.
View attachment 2598016