Africa Innovation Foundation - Innovation Prize for Africa

Africa Innovation Foundation - Innovation Prize for Africa

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
4,710
Reaction score
2,587
Miongoni mwetu wapo watu wenye mawazo mazuri ya biashara katika kutumia fursa mbali mbali zilizopo ili kukabiliana na changamoto mbalimbali. Africa innovation foundation wao wanatoa zawadi kwa mawazo yenye vigezo na kushinda katika nyanja mbalimbali.

Sasa kama ni miongoni mwa watu wenye mawazo ya kibiashara na yenye vigezo basi jisajiri na ushinde ili uweze kuwakomboa watanzania wenzako kwa kukamata $150,000.

Ujumbe huu usiukalie wafikishie na wengine, kuna ambao wanamawazo ila hawajui waanzie wapi basi msisite kuwasaidia.

Website: www.africaninnovation.org ; IPA website: Innovation Prize for Africa
 

Attachments

Back
Top Bottom