Africa kwa kiwango Cha Umasikini bado ni kikubwa sana. Viwanja vipo tupu

Africa kwa kiwango Cha Umasikini bado ni kikubwa sana. Viwanja vipo tupu

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kiwango cha Umasikini Africa bado ninkikubwa sana na ukiangalia mechi zote ukiacha tu ya wenyeji utaona viwanja ni vitupu. CAF sijui wanapata wapi pesa za kuendesha Mpira Africa ila kwa kweli Africa bado sana tena mno.

Ukiangalia hata Copa America utaona viwanja viko fullu kabisa.

Mungu atusaidie
 
Pamoja na umasikini hata ivo waafrika hawapendi michezo(kuna wengine hela wanazo kabisa lakini hawako tayari kutumia hela zao kwenda kuangalia soka) ni afadhali akahonge kuliko kwenda uwanjani
 
Fullu ndio nini?
 
Wenzetu Wana utamaduni wa kwenda vacation. .sisi maisha yetu hakuna mipango. .tunaishi kwa kudra tu
 
hapanaa waarabu ni wabaguzi sana. angalia gemu wanazocheza waarabu ufananishe na zile za weusi tuu utaekewa
 
Kuna restrictions nyingi africa kati ya nchi na nchi kule ulaya no free movement if people and goods sisi uku utaombwa visa ya kusafiria unaulizwa nasiku utakazokaa yani full mapicha picha.
 
Pamoja na umasikini hata ivo waafrika hawapendi michezo(kuna wengine hela wanazo kabisa lakini hawako tayari kutumia hela zao kwenda kuangalia soka) ni afadhali akahonge kuliko kwenda uwanjani
Ndio! Huenda hii pia ni sababu mojawapo.
 
Leo Cairo kuko Nyomiii. Egypt anacheza usiku. Tena uwanja huu huu wanaochezea Uganda na Zimbambwe.
 
Nami nilitaka kusema hili, Viwanja viko vitupu au huko misri hawapendi soka maana wanajaa pale timu yao ikicheza
 
Write your reply... Mbona mashindano ya u -17 yalifanyika hapo taifa, kiingilio bure lakini uwanja mweupe.
 
Tungelipwa hela ya korosho hata sisi wa Mtwara tungeenda Misri
 
Back
Top Bottom