CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Dah we jamaa unaua kwa kweli hahahaAcha masihara mkuu!!!
yaani mtu atupe hela yake kweenda kuiangalia taifa staazi inavyopigia mpira ugokoni?
Kiwango cha Umasikini Africa bado ninkikubwa sana na ukiangalia mechi zote ukiacha tu ya wenyeji utaona viwanja ni vitupu. CAF sijui wanapata wapi pesa za kuendesha Mpira Africa ila kwa kweli Africa bado sana tena mno.
Ukiangalia hata Copa America utaona viwanja viko fullu kabisa.
Mungu atusaidie
Ohooooo !Acha masihara mkuu!!!
yaani mtu atupe hela yake kweenda kuiangalia taifa staazi inavyopigia mpira ugokoni?
Hawajambo hapo hungumalwa?Weka picha mkuu, wengine tupo wilaya ya Ngudu near Kolomije...
Ndio! Huenda hii pia ni sababu mojawapo.Pamoja na umasikini hata ivo waafrika hawapendi michezo(kuna wengine hela wanazo kabisa lakini hawako tayari kutumia hela zao kwenda kuangalia soka) ni afadhali akahonge kuliko kwenda uwanjani
Umasikini, huo muda wa kwenda uwanjani unatoka wapi wakati hujui kama usiku utakula?Write your reply... Mbona mashindano ya u -17 yalifanyika hapo taifa, kiingilio bure lakini uwanja mweupe.