Africa Mashariki ni Nchi Ipi ina Mfumo mzuri wa Elimu?

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
katika Africa ya mashariki ni Nchi gani itakuwa inaongoza kwa mfumo mzuri wa Elimu na elimu safi?
Kati ya nchi hizi
Tanzania.Uganda,Burundi.Kenya na Rwanda!!
 
sijafanya research kwaio siwezi kuchangia lolote


''No RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK'' Nyerere
 
Kenya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bongo mfumo ni mzuri zaidi sema utekelezaji wa sera husika ndiyo magumashi!
 
Education system its so good the big problem z policies (bongo)
Eti King'asti hapa ndugu alitaka kusema nini?
Back to the topic: Nadhani Kenya inaongoza, na Burundi ndio iko mwisho.
Wote bado tunahitaji ku-copy models zingine, more adapted to our informal economies
Education system ya Kenya imeruhusu colleges nyingi ili watu wakimaliza tu secondary
waweze kujiunga na colleges kwa miezi au miaka michache, and become professionals
Tanzania na Uganda zinafuata mfumo huo ila sasa idadi ya colleges zenyewe chache.
Rwanda na Burundi bado wamekaa in their belgian colonial system, very inadequate
people learn so many things in Universities, but focus on none. Very few make it to the end
and they are more researchers than actual professionals who can make a change.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…