Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 137 Sep 10, 2009 #1 Natafuta "Africa Peer Review Mechanism -Country Review Report Tanzania". Not sure kwamba hii review haijafanywa Tanzania au imefanywa lakini ripoti haipatikani katika website yao hapa http://www.aprmtanzania.org/Index.php?id=documents#
Natafuta "Africa Peer Review Mechanism -Country Review Report Tanzania". Not sure kwamba hii review haijafanywa Tanzania au imefanywa lakini ripoti haipatikani katika website yao hapa http://www.aprmtanzania.org/Index.php?id=documents#
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Sep 10, 2009 #2 Hii hapa si yenyewe? http://www.aprmtanzania.org/docs/CSAR - Tanzania 2009.zip
Mchaga JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,378 Reaction score 206 Sep 10, 2009 #3 Invisible said: Hii hapa si yenyewe? http://www.aprmtanzania.org/docs/CSAR - Tanzania 2009.zip Click to expand... thanks na mimi nilikuwa naitafuta
Invisible said: Hii hapa si yenyewe? http://www.aprmtanzania.org/docs/CSAR - Tanzania 2009.zip Click to expand... thanks na mimi nilikuwa naitafuta
Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 137 Sep 10, 2009 Thread starter #4 Walikuwa wanabana na hawakuweka file kwa sababu wanajua, despite the politicization, kuna utumbo wa nchi umeanikwa humo. Nilivyolitafuta earlier halikuwapo. Thanks mkuu kwa kuweka pressure hili file liwekwe, nalipitia.
Walikuwa wanabana na hawakuweka file kwa sababu wanajua, despite the politicization, kuna utumbo wa nchi umeanikwa humo. Nilivyolitafuta earlier halikuwapo. Thanks mkuu kwa kuweka pressure hili file liwekwe, nalipitia.