Africa resists financial hurricane

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
By Olivier Nyirubugara, The Hague, The Netherlands
 
Invisible,
Hata huku Vichochoroni Sikonge hili tatizo halipo. Watu wengi hununua vitu kwa pesa CASH. Mikopo ilianza kuwa maarufu juzijuzi na watu wote wanaokopa na kushindwa kulipa hata kama ni shill. laki moja basi unawekwa kwenye list ya watu wasioaminika kupewa mkopo. Hapo kila sehemu ukigonga hodi ni kwamba unakuwa umefungiwa.

KWa nchi za Africa, benki nyingi zimekuwa tangu zamani zikiweka sheria za kufa mtu. Sasa matokeo yake ni kuwa wana CASH nyingi sana (ki uwezo wa banki). Hili tatizo linakumba wale tu hawana CASH. Ndiyo maana akina Citibank na watu kama Warren Edward Buffett kwa sasa wako busy wakinunua kwa bei poa kabisa midondo ya banki. Benki hizo ingelikuwa mwezi jana wangelizinunua kwa bei juu sana. Kama Africa ingelikuwa well organised na sisi tungeliingia kununua hisa za midondo hiyo kwa Cash tulizonazo ingawa hii inakuwa ni kucheza karata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…