Africa soccer zone: Timu zilizoperfom zaidi 2024 Africa

Africa soccer zone: Timu zilizoperfom zaidi 2024 Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MMESIKIA HUKO?
.
Kwa mujibu wa Africa Soccer Zone,Klabu ya Yanga inashika nafasi ya pili nyuma ya Al Ahly kuwa ndio Klabu zinazofanya vizuri kwa sasa barani Afrika.

Orodha ni kama ifuatavyo
1-Al Ahly
2-Yanga
3-Petro De Luanda
4-Orlando Pirates
5-Mamelodi Sundown
6-Rs Berkane
7-Al Hilal
8-As Maniema Union
9-Singida Black Stars
10-Olympique Beja

Wakati huo huo Singida Black Stars ya Tanzania inakamata nafasi ya tisa katika kumi bora huku mnyama Simba akiwa hajatokea katika Top 10 hiyo.
.
NB-Oodha inatokana na matokeo ya timu inayoyapata katika michezo ya sasa kuanzia katika Ligi Kuu au mashindano ya kimataifa.
.
Vipi wanangu ripoti hii tuwawasilishie na wazee au tuamie wenyewe kuitisha press?isije ikawa akina Quaresma wamehamia CAF!
.
Powered by Shabani FUNDI sports
1730204419748.jpg
 
Hapana.

Hii haiwezekani.

Hawa Africa Soccer Zone itakuwa wanadhaminiwa na GSM.

Wazee wa Simba mkilikalia kimya hili la Yanga kupendelewa ntawashangaa sana.

Wazee wetu fanyeni jambo.
 
Hapana.

Hii haiwezekani.

Hawa Africa Soccer Zone itakuwa wanadhaminiwa na GSM.

Wazee wa Simba mkilikalia kimya hili la Yanga kupendelewa ntawashangaa sana.

Wazee wetu fanyeni jambo.
Ngoja wajee
 
Back
Top Bottom