Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
sisi tunajijua tatizo ni hawa wa kuyamba wanaojishebidua halafu 10 top holaa hawapo!Sisi tutasubiri sana
Subuli uwaja wetu umalizike. Lile banda ĺa kuku haliwezi ingia Top Tensisi tunajijua tatizo ni hawa wa kuyamba wanaojishebidua halafu 10 top holaa hawapo!
Kwa hali ilivyo mtoto akizaliwa leo hadi vilembwekeze vyake vitakufa bado hatujaingia Top tensisi tunajijua tatizo ni hawa wa kuyamba wanaojishebidua halafu 10 top holaa hawapo!
Siyo kweli mkuu.. Terminal 3 iki isha terminal 2 ita fanyiwa marekibisho makubwa. Hivyo vilivyo hapo siyo kivile sanaKwa hali ilivyo mtoto akizaliwa leo hadi vilembwekeze vyake vitakufa bado hatujaingia Top ten
Kumbe 6Top ten ya afrika nchi ya
Afrika kusin imeingiza airports 5 du
Upo wa chato tehe teheWa Kenyatta haumo??
Poor Kenyans
Top ten ya afrika nchi ya
Afrika kusin imeingiza airports 5 du