Mkuu,Zimbabwe pia iko pale aise, a part of it looks like a 'failed state' reunion, lol. I think they should re define some words (like failed state) in the dictionary.
Just crying for we Tanzanian.Kenya na Uganda wapo above us
wangapi wasiojua kiinglish wanaenda cafe? wangapi wanaweza kutumia computer? wangapi wanainterest ya kusoma walau magazeti online? Kweli tupo nyuma sana.
Wanigeria wako wengi sana. Wastani wao tutakuwa tunawapita.
Hizi bei za Internet, umeme wa mgawo na UFISADI huku mafusadi wakishika nyanja zote za mawasiliano..... tusitegemee kupanda hivi karibuni.
We all thought with the landing of the fibre optic cables some few months ago, bei ya internet itashuka, but that is yet to be seen. The rural areas (where most of the population is) should access the internet cheaply, lakini hawa wababe wataka ifike tu mijini na isimame hapo.
Usishangae kijana, ndio kwanza vijana wa shule za vodafaster wanategemea kumaliza kidato cha nne mwakani. Ulitegemea watu wa kusaurf internet wawe wa darasa la saba ambalo ndilo lililokuwa sera ya ccm? ili kuweza kuwatawala!Just crying for we Tanzanian.Kenya na Uganda wapo above us
Sisi tatizo letu ni english tuuuuuuuu.
Yote waliochangia wadau hapo juu ni baadhi tu ya sababu hatuwezi kuwa kati ya kumi bora Africa.
Inasikitisha sana.
Sasa tufanyeje ili tuwe ndani ya kumi bora? Ninafikiri ita pendeza kama wachangiaji wakija na solutions za namna ya kuendelea!
Sasa tufanyeje ili tuwe ndani ya kumi bora? Ninafikiri ita pendeza kama wachangiaji wakija na solutions za namna ya kuendelea!
Hizi data zimekaa kinamna (siyo sceintific comparison). Yaani unahesabu moje, mbili hadi milioni 11.0 halafu unasema Nigeria ni ya pili kwa kutumia internet! Walinganishe % ya pop na utakuta Nigeria itakuwa hata nje ya top ten