Africa tunajidharau

Africa tunajidharau

Monda kubwa

Senior Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
121
Reaction score
155
Hivi nikichukua mwarobaini, aloe vera, majani ya mpapai, tangawizi nikachanganya nikachemsha halafu nikanifunikiza na nyingine nikanywa kwa cku tatu mfululizo. Siponi corona? Tusiidharau Africa yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita nilikuwa na dalili zote wanazozisema wataalamu kuwa ni za Corona, nilijitenga na familia yangu, hata Kabla hazjafka siku 14 nshapona mkuu, nilijifukiza mti wa mlingoti na nilikunywa sana Tangawiz na kitunguu swaumu!

Mtu mweusi Hafi kwa mafua labda awe na pneumonia au TB.
Waafrica tukatae kinga zitakazoletwa na wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom