African Achievers Awards - Letter to Diamond Platinumz

Wait and watch atakapoanguka ndio mtajua kuwa public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.

Ngoja sasa picha linaanza.
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

Kakutukana wap? Acha mshono kushobokea watu eti katukanwa? Sijawahi kutukwana na msanii yoyote awe ali kiba au diamond. Nasbir unitukane ww mwenye mshono na kiherehere
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

Nyie ni wapuuzi na mna uswahili wa kijinga sana, anawatukana lini kawatukana nyie watu? Watanzania ndio maana tunabaki kuwa maskini kwa sababu ya laana.

Mtu akifanikiwa kidogo mnaanza kushushia shutuma za kila aina. Hivi ukiambiwa utoe ushahidi wa hicho unachodai kakutukana je unaweza kuweka hapa? Au ndio ushabiki maandazi wa kusikiliza magazeti ya shigongo kisha mnakuja kumshushia mtu lawama hapa.

Sometime muogopeni Mungu. Hiki mnachofanyia Diamond hakitaishia kwake tu, kitawarudi na familia zenu. Mnaendekeza chuki za kijinga zisizokuwa na manufaa kwa taifa. Endeleeni na chuki zenu, Mungu yu pamoja nasi.
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

Yote kwa yote nchi yako kwanza wengine ndo wanafuata

Ndugu yako akikukosea haina maana ndo kawa adui yako

Kama ambavyo damu ni nzito kuliko maji.Vilevile ambavyo uzalendo ni mzito kuliko chuki.

Tanzania kwanza
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza
We jamaa HUNA akili sana ngoja tuwaulize swali hawa team DIAMOND hivi kutuonyeshea TUZO zenu 25 na sisi KIBA wetu anazo 8 tena munasema za kimataifa hatuna hata 1 si ndo munatuzidishia hasira au amuoni hilo ?
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

umetukanwa wapi we f.a.l.a mbona unakua na wivu wa kishamba eti umembeba hahaha una uhakika ulimbeba adi hapo alipofika au unahara tu humu.

Watanzania sijui tumlaumu nani kwa kua watu wa dizain yako mpo wengi msiopenda kusupport vya kwenu mtaendelea tu kufanywa mahouse gal na walinzi kwenye nchi yenu kwani hakuna jinsi.
 
We jamaa HUNA akili sana ngoja tuwaulize swali hawa team DIAMOND hivi kutuonyeshea TUZO zenu 25 na sisi KIBA wetu anazo 8 tena munasema za kimataifa hatuna hata 1 si ndo munatuzidishia hasira au amuoni hilo ??????????????

Hasira zinazotakiwa ni za kumfanya Kiba naye apate tuzo za kimataifa, huo ndio ushindani unaotakiwa. Ushindani wa kukuza muziki wetu wa Tanzania ufahamike zaidi kimataifa, na sio hawa wanaosema eti watampigia kura Davido ili Diamond akose.
 
Kama alisema tusimpigie kura tuzo za watu kwa kua ni tuzo za vichochoroni je kuna uhalali wa mimi ninayekaa kuchochoroni kumpigia kura??
 
wait and watch atakapo anguka ndio mtajua kua public ndio tulimuweka halipo na hana kipaji kama ana kipaji akawashawishi wakenya waganda na wasouth wampigie kura tunambeba anatutukana.ngoja sasa picha linaanza

Msyuuuuuuuuu tutokee hapa na wewe, shobo mkondombwe tu, Diamond akutukane wewe anajua kama una exist? Lete tusi ulotukanwa hapa. Roho mbaya tu.
Wanigeria wamejitahidi kupenyeza mziki wao mpaka kwetu ndo maana leo hii Unapata jeuri ya kuwapigia kura, kijana wa watu anajitahidi kufungua njia nyie mmekalia kooni kama michawi vile Ione kwanza.
 
We jamaa HUNA akili sana ngoja tuwaulize swali hawa team DIAMOND hivi kutuonyeshea TUZO zenu 25 na sisi KIBA wetu anazo 8 tena munasema za kimataifa hatuna hata 1 si ndo munatuzidishia hasira au amuoni hilo ??????????????

ifike sehemu mtu ajue wanaomuweka alipo sio mashabiki wake tu ni watu wote sasa anapokashifu tuzo zinazoandaliwa tz na kuziita tuzo za vichochoroni inamaana ametukana na wapiga kura kua ni wa vichochoroni sawa hatukatai sasa amerudi kuomba wale wale wa vichochoroni?????
 
We jamaa HUNA akili sana ngoja tuwaulize swali hawa team DIAMOND hivi kutuonyeshea TUZO zenu 25 na sisi KIBA wetu anazo 8 tena munasema za kimataifa hatuna hata 1 si ndo munatuzidishia hasira au amuoni hilo ??????????????

yeye si anajiita wa kimataifa sasa awaambie wkenya na waganda kua sasahivi anawania tuzo za barabarani wampigie kura sisi tutapiga za vichochoroni na tumeridhika sana sana tu na tutawapigia wasanii wetu wa vichochoroni na hii kampeni itaendelea
 
sikia kaka mimi nilisoma kwenye inst yake na tangu alipopost akisema msinichague tuzo za watu kwa sababu ni tuzo za vichochoroni nikaangalia nikasema sawa zitakapo kuja za barabarani utatuambia akaniblock sasa ili ajue umma wa watanzania ndio umemuweka alipo akipigwa sasahivi atashika adabu tena sana tu.................!
 
Kitu kingine nashangaa kwa nini wanaenda kumtukana Zari, ana makosa gani? Dada wa watu mjamzito asubuhi asubuhi wamemwamkia na matusi. Yani tuzo kuchukua kiba nilitegemea watu wajae account ya kiba kumpongeza wao wameenda kumtukana Zari dah mpaka aibu sisi waTz.
Wengine wanakwambia tunampigia Davido, kisa? Diamond kapata tuzo mbili ila ajatushukuru. Dah hatari yani unataka ushukuriwe na usiyempigia kura, siku nzima unatamba tulimpigia kura fulani then unaangaika na mwingine ndio akushukuru. As nchi tuna tatizo kubwa sana zaidi ya poor leadership.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…