N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 May 5, 2012 #1 Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????