Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime. Mkurugenzi mkuu wa ABG ameipongeza serikali kwa jinsi ilivyofanikiwa kushirikiana nao katika muda wote wa uchimbaji. Na kwa kuahidi kuendelea kubaki endapo watawaonyesha sehemu nyingine yenye madini ya dhahabu au almas.
ABG wamefunga baada ya madini kuisha katika eneo hilo
source chanel ten
ABG wamefunga baada ya madini kuisha katika eneo hilo
source chanel ten