Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime. Mkurugenzi mkuu wa ABG ameipongeza serikali kwa jinsi ilivyofanikiwa kushirikiana nao katika muda wote wa uchimbaji. Na kwa kuahidi kuendelea kubaki endapo watawaonyesha sehemu nyingine yenye madini ya dhahabu au almas.
ABG wamefunga baada ya madini kuisha katika eneo hilo
source chanel ten
Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime. Mkurugenzi mkuu wa ABG ameipongeza serikali kwa jinsi ilivyofanikiwa kushirikiana nao katika muda wote wa uchimbaji. Na kwa kuahidi kuendelea kubaki endapo watawaonyesha sehemu nyingine yenye madini ya dhahabu au almas. ABG wamefunga baada ya madini kuisha katika eneo hilo source chanel ten
Mwizi anapoomba aonyeshwe sehemu nyingine yenye mali ili aendelee kuiba!
Inhgefurahisha sana kama na wewe ungehamia Mtwara tupambane pamoja, siyo kuwa-support kwa kutumia keyboard tuNitabaki kuwa-support wana Mtwara daima! !
Mwizi anapoomba aonyeshwe sehemu nyingine yenye mali ili aendelee kuiba!
Wamesema nini kuhusu kurudisha uoto asilia pale Tulawaka? na kufukia mashimo...
Jana tarehe 2 kampuni ya African Barrick Gold mine ilifunga operation zake katika mgodi wa tulawaka kati ya migodi mitatu inayomiliki. Migodi iliyobaki ni Buzwagi, bulyakyulu na mgodi wa tarime. Mkurugenzi mkuu wa ABG ameipongeza serikali kwa jinsi ilivyofanikiwa kushirikiana nao katika muda wote wa uchimbaji. Na kwa kuahidi kuendelea kubaki endapo watawaonyesha sehemu nyingine yenye madini ya dhahabu au almas. ABG wamefunga baada ya madini kuisha katika eneo hilo
source chanel ten
Wamesema nini kuhusu kurudisha uoto asilia pale Tulawaka? na kufukia mashimo...
Mkuu, hapa tz hamna kitu kama hiko.
Inhgefurahisha sana kama na wewe ungehamia Mtwara tupambane pamoja, siyo kuwa-support kwa kutumia keyboard tu