African Beauty

Kufika hapa nimesadik hakuna chochote Tanzania imeizidi Kenya!!
Top 10 African Countries With The Most Beautiful Women – Urban Viral Media








That explains why Vera Sidika was in Diamonds party!!!!!!
Samahani ila ningependa nikuulize hili swali

Hivi kwa nini wakiulizia uzuri wa wanawake wa kenya huwa post nyingi ni za hao machotara wa pwani au wasomali tuuu mbona kuna wabantu wazuri tu kama singer mmoja wa group la elani (though ana miguu midogooo )

kwa nini lakini
 
Kilichokufanya kuamini Tanzania ina wanawake wazuri hapo awali ni nini?
 
Every country has its share of very beautiful and very ugly men and women. Trying to position a country to have better than others is just attracting a mudfest
 
Kufika hapa nimesadik hakuna chochote Tanzania imeizidi Kenya!!
Top 10 African Countries With The Most Beautiful Women – Urban Viral Media








That explains why Vera Sidika was in Diamonds party!!!!!!
[emoji23] [emoji23] what a f****ck ?? Unajua hao wanaofanya huo utafiti huwa wanaangalia wale mastaa kwa kuwa wanajulikama sana? Tusiende mbali hata hapo NAIROBI tu hakuna demu mzuri hata mmoja ukitoa wale mastaaa kwanza nywele zao zinaaanzia katikati ya kichwa sasa unadhani .BRAZILIAN hair itakaaa adje?????
 
Mimi nachojua nikuwa ukiona mwanaume anafatilia wanawake wa nchi nyingine kama wewe ujue hana mchumba wala mke kama wewe. Nachokushauli tafuta binti hapo Kenya. Punyeto(masturbation) iko na adhari. Kuna mafuta yanaitwa KY ukichanganya na colgate ukapaka kwenye muhogo wako ukamdinya mwanamke akuachi. K yake itatoa ma water mpaka ushangae. Baby baby kitandani zitakuwa nyingi. Ndani ya week ataomba ndoa. Thats the only advice i can give to help you.
 
Aisee nimekudharau..yaani hao chips funga (professional prostitutes) wenu ndo unataka kufananisha na nchi yenye supermodels zaidi ya wanne as u speak? Shika adabu yako ati vera sidika!


Flaviana Matata (@FlavianaMatata) on Twitter












nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, pingli-nywee
 
Nchi yawananwake wajinga Tanzania... giving birth to Idiots like Geza
 
even for free hatuwezi taka Malaya kama mama zenu
 
Fahamu walimbwende watatu kutoka Tanzania waliobadilika kuwa wanaharakati
Esther NamuhisaBBC Swahili
  • 6 Aprili 2018

Image captionMashindano ya ulimbwende ni mlango wa fursa
Miss Tanzania wa zamani waiambia BBC namna ulimbwende ulivyofungua milango ya fursa za kibiashara na huduma kwa jamii

Anafahamika zaidi kama Miss Tanzania na Miss World Africa wa mwaka 2005, lakini leo hii mlimbwende huyu ni mjasiriamali na mwanaharakati wa kijami aliyeamua kuwainua vijana na wanawake zaidi katika nyanja mbalimbali za kijami.

Haki miliki ya pichaNANCY
Image captionMiss Tanzania ,2005
Nancy Sumari, ni mfanyabiashara ambaye anamiliki kampuni ya habari kwa njia ya mtandao iitwayo 'bongo5'. Anasema mtandao huu wa habari unalenga kumjenga kijana kimawazo ili aweze kufanya maamuzi sahihi kwa kumpa habari na burudani.

Mbali na kampuni hiyo anamiliki pia taasisi ya mafunzo ya tehama kwa watoto inayochapisha mfululizo wa vitabu viitwavyo Nyota .

Shughuli hizi anazozifanya anasema zinampa fursa ya kujihusisha zaidi na miradi ya kuwawezesha wanawake, kutoa mafunzo kwa vijana na kusaidia katika kuboresha elimu nchini.

Haki miliki ya pichaNANCY
Image captionNancy Sumari akizindua kitabu chake cha hadithi na mashairi kwa watoto
Taji la ulimbwende kwa Sumari, ni jambo ambalo anajivunia sana kwa sababu limempa fursa ya kukutana na watu mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali duniani na vilevile kutembea maeneo mengi duniani.

Anasema mashindano ya Miss Tanzania, ni jukwaa zuri ambalo linamjenga mtu kwa kile ambacho amelenga kukipata ingawa huwa inategemea na mtu mwenyewe na nini anataka kufanikisha.

Nancy anaamini kwamba sio kila kitu ambacho unaweza kukiona kwenye mtandao ndio uhalisia, kuna kazi kubwa nyuma ya pazia.

Mwaka 2017, Sumari aliweza kupata tuzo la vijana 100 wenye ushawishi zaidi Afrika, lifahamikalo kama 'Africa Youth Awards'.

Yeye pia ni mjumbe wa World Economic Forum, Mandela Washngton Fellow.

Haki miliki ya pichaINSTAGRAM
Image captionBaadhi ya wajasiriamali waliowahi kuvikwa taji la Miss Tanzania
Mbali na Nancy wapo walimbwende wengine walioenda mbali zaidi na kujivika mataji ya ujasiriamali na kujihusisha na shughuli zingine za kijamii.


Image captionNasreen Karim,Miss Tanzania 2008
Nasreen Karim, alikuwa miss Tanzania mwaka 2008. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na mkurugenzi wa asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Enjipai Masai women foundation, inayoshughulika na kazi za utamaduni na sanaa ambazo anawashirikisha akina mama wa kimasai.

Biashara anayofanya alianza mara tu baada ya kumaliza muda wake wa Miss Tanzania.

Aliamua kuanzisha biashara hii kwa madhumuni ya kuwainua akina mama ambao wanajishughulisha na ubunifu wa shanga kwa kutengeneza vitu mbalimbali vya urembo .

"Nilipata wazo hili wakati nikiwa miss Tanzania, na liliweza kunipa fursa nzuri ya kushinda tuzo ijulikanayo kama 'Beauty with purpose' 'jambo ambalo niliona ni muhimu kuliendeleza."

Nasreen anasema kwa mwaka mmoja ambao alikuwa karibu na jamii akiwa miss Tanzania kulimuwezesha kugundua kwamba kuna umuhimu wa kuendelea kuwa karibu na jamii.

Katika hiki anachokifanya leo, anaona kama sehemu ya muendelezo wa pale alipoishia wakati akiwa miss Tanzania. Anasema anajivunia kwamba shughuli zake za kijamii anazozifanya sasa ndio zinazomtambulisha zaidi .


Image captionMjasiriamali wa bidhaa za utamaduni,Miss Tanzania 2008
Nasreen anaamini kwamba mashindano ya ulimbwende ni fani kama fani nyingine na inampa mtu muda mfupi sana wa mwaka mmoja ambao kama mtu ana malengo atafanikiwa kwa sababu ya jukwaa kubwa kutoka kwa vyombo vya habari na makampuni mengi yanayotaka kumtumia kwenye matangazo na kumuunganisha kwa watu wengi duniani.

Anasema hivi sasa shanga za kimasai ni bidhaa ambayo ina wateja wengi duniani kote na ina mvuto wa kisasa.

Haki miliki ya pichaBRIGITTE
Image captionMiss Tanzania 2012,amejikita katika kuwawezesha watu wenye ualbino
Brigete Alfred, msichana mwenye umri wa miaka 23, alipata taji la ulimbwende wa Tanzania mwaka 2012 akiwa na miaka 18.

Yeye amemaliza chuo kikuu mwaka jana, ambapo alikuwa anasomea Uchumi na masoko. Vile vile ni mkurugenzi wa asasi isiyokuwa ya kiserikali inayoitwa 'Empowering margnalised group' inayosaidia watu wenye ualbino nchini Tanzania.

Brigite alipata nafasi ya miss Tanzania kipindi ambacho nchi ilikuwa ina janga kubwa la kujeruhiwa na hata kuuwawa kwa watu wenye ualbino hivyo shughuli nyingi za taji lake zilimuhamasisha yeye kuwa karibu zaidi na jamii hiyo.

Shughuli hizo pia zilimpa fursa ya kuwa mshindi wa tatu katika kipengele cha 'Beauty with Purpose' katika mashindano ya dunia.

"Jukwaa hili la Miss Tanzania lilinipa fursa ya kujionea na kujua ni nini kinakosekana katika jamii yangu, sina uwezo mkubwa sana lakini kwa kidogo nilichonacho ninajivunia kuwa nimemuwezesha kijana mwenye ualbino kuweza kulala katika nyumba salama baada ya kuwajengea bweni la watoto 300 huko shinyanga"

Brigite anaamini kuwa kama asingekuwa miss Tanzania basi asingeweza kuwa na maono mazuri kama haya, anasema hakuna ambaye aliyemshawishi kufanya chochote ila nafasi hiyo ilimpa fursa ya kufikia hicho anachokifanya.

Lakini vile vile anajivunia kupitia kampuni yake anaweza kumpa mafunzo kijana mwenye ualbino ambaye hajawahi kwenda shule kuweza kujua namna ya kutunza fedha katika akaunti, kujiajiri, kufanya biashara ndogo ndogo na kuanzisha vikundi vya kukopeshana na kujua namna ya kujikimu kimaisha.

Haki miliki ya pichaBRIGITTE
Image captionMiss Tanzania 2008,Brigitte Alfred
Wasichana wengi wanapata taji la miss Tanzania wakiwa na umri mdogo na ni wakati ambao unaweza kujijenga au ukapotea, anasema Brigitte.

Hata hivyo anaonya kwamba kama mtu hana watu wa karibu wa kumuunga mkongo ni ngumu kufanikiwa na kutumia fursa iliyopo mbele yao.


Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…