Watanzania wawili M.Samatta na T.Ulimwengu wanaochezea TP Mazembe jioni ya leo wataweka historia katika ulimwengu wa soka.
Ni katika mchezo wa pili wa fainali kuwania kombe la ligi ya mabingwa Afrika utakaochezwa jijini Lumbumbashi,DRC,Kati ya TP Mazembe(DRC) Vs USM Alger(Algeria).
Mchezo wa kwanza wa fainali uliofanyika Algeria,Oct31,2015 TP Mazembe walishinda 1-2 Mtanzania,Samatta akitupia goli la ushindi 79' kwa penalti.
Samatta mwenye mabao 7 ana nafasi ya kuibukia mfungaji bora wa michuano hiyo. Amelingana mabao na Bakri Al-Madina(El Merreikh-Sudan) ambaye timu yake imeshatolewa.
MUHIMU: Mchezo huu utaonyeshwa Live na TBC 1 kuanzia saa 10.30 jioni(4.30pm) 08/11/3015
Full Time: TP Mazembe vs USM Alger (2-0)
TP Mazembe wamefanikiwa kuchukua kombe la African Champions League baada ya kushinda kwa jumla ya magoli 4 - 1.

Attachments
Last edited by a moderator: