African cities by number of 20+ floor buildings. Complete or U/C...Dar is really trying..Eldoret closes the list

End skyscrapercity ukawaambie ivo, uko si kama jamii forum kwenye unaongea maneno tu....
Wewe boya kweli, Sasa huyo nae si mtu kama wewe ameandika maneno tu. Tena inaweza ikawa ni wewe mwenyewe unaandika pumba uko then unazileta huku
 
Reactions: Cyb
Wewe boya kweli, Sasa huyo nae si mtu kama wewe ameandika maneno tu. Tena inaweza ikawa ni wewe mwenyewe unaandika pumba uko then unazileta huku
Haikuwa mtu mmoja ilikuwa kundi lote la skyscrapercity africa nzima na baathi ya wachangiangi wa tz walikuwa kina kizibo/geza ulole, kilingo, bantugbro
 
Ni Ya zamani, sasa tunaomba uende skyscrapercity uka update cha muhimu usiende kukurupuka uko, hapo sii jamii forum utanyoroshwa ban ukianza upuuzi wa jamii forum muulize geza ulole/kizibo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe fala i only deal with one forum. That is Jamii Forum only because its TZ based. Mimi huwezi nikuta nikilandalanda kwenye forum nyingine
 
Haikuwa mtu mmoja ilikuwa kundi lote la skyscrapercity africa nzima na baathi ya wachangiangi wa tz walikuwa kina kizibo/geza ulole, kilingo, bantugbro
Ili andaliwa lini.. kuna thread ya Nai na Dar kuhusu hizo over 20. Pia yenyewe iliandaliwa na watu wengi, mbona huja ichukua ile unatuletea hiyo ambayo ime imbunja Dar

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wewe boya kweli, Sasa huyo nae si mtu kama wewe ameandika maneno tu. Tena inaweza ikawa ni wewe mwenyewe unaandika pumba uko then unazileta huku
Hawa jamaa wanazani sisi tuko jobless kama wao kulandalanda kwenye forum. Wao hadi Tweeter wameigeuza kama forumπŸ˜€πŸ˜€
 
Iyo ni kizibo/geza ulole alitengeneza pekee ya na ndio ilipata pingamizi, yenye iko hapa ulikua ukisema ni ghorofa ngapi unaleta picha na source kwaivo haikuwa na chance ya kudaganya
 
Hawa jamaa wanazani sisi tuko jobless kama wao kulandalanda kwenye forum. Wao hadi Tweeter wameigeuza kama forumπŸ˜€πŸ˜€
Nawaonaga, halafu wanajifanya wajuaji sana. Ata humu naona wanaongezeka nahisi wanashtuana wakiwa kwenye vibanda vya mama ntilie uko Kibera.
 
Reactions: Cyb
Wewe fala i only deal with one forum. That is Jamii Forum only because its TZ based. Mimi huwezi nikuta nikilandalanda kwenye forum nyingine
Venye huwa unajadili hoja kitoto huku jamii forum uko uwezi kaa ata sekunde moja unapigwa ban.
 
Hawa jamaa wanazani sisi tuko jobless kama wao kulandalanda kwenye forum. Wao hadi Tweeter wameigeuza kama forumπŸ˜€πŸ˜€
Kama ni iyo mbona unakesha huku jamii forum usiku kutwa? Kingereza ndio inawaharibia nyinyi wacheni bla, bla
 
Kenya INA miji mitatu humo with a combined 50 buildings over 20floors While the rest of East and Central Africa has a combined 51 buildings.
 
Venye huwa unajadili hoja kitoto huku jamii forum uko uwezi kaa ata sekunde moja unapigwa ban.
Venye nikiswahili gani. Huko siwezi jadili cause they are into construction only next i will only deal with Tanzanian thread. Huwezi nikita Nigeria or Kenyan thread
Huwo jinga sina kama wakwako. Am too busy i got no too much time to waste. Wewe zidi kulandalanda . Hiyo ndotabia ya wakenya
 
source wikipedia na skyscraper cityπŸ˜€πŸ˜€ A fool will always a foolπŸ˜€πŸ˜€ Ndo maana ulipewa Ban ya milele Dar vs NaiπŸ˜€πŸ˜€
Battle yenyewe at a hakubambi kama zamani watu hawaifuatili Tena ni Ichoboy na wageni pekee
 
Battle yenyewe at a hakubambi kama zamani watu hawaifuatili Tena ni Ichoboy na wageni pekee
Una uwakika ?? πŸ˜€πŸ˜€ Wenzako wameshikwa pabayaπŸ˜€πŸ˜± Ngoja tuone yako itakaa sikungapi page number1πŸ˜€πŸ˜€
 
Shukuruni avic international imewaboost sana tulikua ahead of you in few past years...btw congratulations Nbo &Dar east Africa up
Though Luanda is coming up faaaaast. But there are some major projects proposed in Nairobi, we will be hitting 60s soon. What is the situation like in Dar??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…