Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Nchi za Afrika kwa idadi ya watumiaji wa internet.
Hizi takwimu zina maanisha nini?. Tanzania ipo nyuma tu ya Afrika Kusini na Nigeria kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Tanzania ina watumiaji wa internet millioni saba zaidi ya Kenya, Kenya haijawahi kuwa na internet penetration ya asilimia 80% na zile takwimu ni fake (jambo ambalo wengi tushawahi lisema humu), Tanzania ipo vizuri kwenye internet penetration kwani tumezizidi Ethiopia na Dr Congo nchi zenye watu zaidi ya millioni 100.
N.B: Majirani zetu wa kaskazini huwa tunawaambia kila siku hamuwezi kuwa na watumiaji wengi wa internet, wakati kila social media mbali na Twitter, Tanzania ina idadi wengi ya watumiaji kuzidi Kenya.