AFCON ni miongoni mwa matukio makubwa ambayo yamekuwa yakiwapa nafasi waafrika kuweka pembeni tabu zao na kushangilia timu mbali mbali zilizopata nafasi ya kushiriki mashindano hayo.
Mikidadi mahmoud, liongo, charles hillary, J. Nyaisanga, Dr. Liki miongoni mwa vionjo vilivyokuwa chachu ya mashindano hayo. ITV, channel ten na TBC walikuwa mstari wa mbele ku localize mashindano hayo.
Nini kimetokea mpaka mashindano haya yamekuwa biashara na watu wengi wamekosa fursa msimu huu, last season mzee tido alifanikisha. Kwa hakika watanzania wengi kutokuona manake msisimko utapungua na athari zake tutashindwa kujaza uwanja wa taifa na mara zote mashindano yamekuwa ndio benchmark ya performance na platform ya wachezaji kutoka.
Nini jamani kimetokea, mbona kbc kenya wanaonesha tbc wanapiga bongo fleva.