African football league 2025: Timu zitakua 24 Yanga imo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599] BREAKING NEWS: Shirikisho la Mpira Barani Afrika limetoa Orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Michuano ya African Football League itakayopigwa mwakani nchini Afrika kusini kuanzia Januari 11 mpaka Februari 9,2025 huku vilabu 24 vikishiriki.

Kwa Ukanda wa CECAFA utawakilishwa na vilabu vinne ambavyo ni Simba SC,Yanga,Al Hilal na El Merreikh zote zikiwa zinatokea Sudan.

Kwa Ukanda wa COSAFA utahusisha vilabu vya Mamelodi Sundowns,Orlando Pirates,Petro Atletico de Luanda na Marumo Gallants.

Ukanda wa UNAF utatoa timu saba ambazo ni Al Ahly,Wydad Casablanca,RS Berkane,Zamalek,Raja Casablanca,USM ALGER,CR Belouizdad na Esperance Tunis

Ukanda wa UFOA na UNIFFAC utatoa jumla ya timu nane ambazo ni TP Mazembe,Asec Mimosas,Horoya AC,Rivers United,Cotton de Garoua,FC NOUDHIBOU,AS Vita Club na Enyimba.

KUHUSU AZAM FC NA KAIZER CHIEFS VIPI? GUSA LINK KUPATA UFAFANUZI ZAIDI [emoji116]
1723453018968.jpg
 
Kama ni mtu wa mpira, ukiisoma hiyo list unajua tu ni fake. Mimi ninileta humu list mwaka jana na ni bora na ina uhalisia kuliko hiyo
 
Yani Utopolo mna nongwaa..yani mchezaji akitoka kwenu nyie ni adui..sasa kijana wa watu kila siku kumuandama kisa nini sasa..hivi ktk maisha halisi si mtakua wazee wa visasi sana nyie...
Hapana mkuu...mbna tunamfurahia tu
 
Shindano la AFL halitakuwepo tena msimu huu. Hilo bonanza timu nyingi zimelikataa. Sababu linaharibu ratiba za ligi za ndani na za Champions league.

Motsepe ndie alikuwa anafosi hilo shindano liwepo. Wajumbe wengine wa CAF wamelikataa pia.

Maana ni Bonanza tu
 
[emoji599] BREAKING NEWS: Shirikisho la Mpira Barani Afrika limetoa Orodha ya vilabu vitakavyoshiriki Michuano ya African Football League itakayopigwa mwakani nchini Afrika kusini kuanzia Januari 11 mpaka Februari 9,2025 huku vilabu 24 vikishiriki.

Kwa Ukanda wa CECAFA utawakilishwa na vilabu vinne ambavyo ni Simba SC,Yanga,Al Hilal na El Merreikh zote zikiwa zinatokea Sudan.

Kwa Ukanda wa COSAFA utahusisha vilabu vya Mamelodi Sundowns,Orlando Pirates,Petro Atletico de Luanda na Marumo Gallants.

Ukanda wa UNAF utatoa timu saba ambazo ni Al Ahly,Wydad Casablanca,RS Berkane,Zamalek,Raja Casablanca,USM ALGER,CR Belouizdad na Esperance Tunis

Ukanda wa UFOA na UNIFFAC utatoa jumla ya timu nane ambazo ni TP Mazembe,Asec Mimosas,Horoya AC,Rivers United,Cotton de Garoua,FC NOUDHIBOU,AS Vita Club na Enyimba.

KUHUSU AZAM FC NA KAIZER CHIEFS VIPI? GUSA LINK KUPATA UFAFANUZI ZAIDI [emoji116]
View attachment 3081432
Kumbe wewe nae n kilaza hivi? Unatuletea fake news hapa JF, hivi nyie Feisal aliwatembezea miguu yote mbona mnamchukia hivi?
 
Yani Utopolo mna nongwaa..yani mchezaji akitoka kwenu nyie ni adui..sasa kijana wa watu kila siku kumuandama kisa nini sasa..hivi ktk maisha halisi si mtakua wazee wa visasi sana nyie...
Iyo ni picha aliyopigwa wakati amefunga Goli dhidi ya Yanga, unaweza pata picha jinsi kijana alivyokua amekamia.
Kama sura ya kijana baadaya kupata Goli ilikua hivyo je! roho yake ilikua Ina maanisha Nini?
 
Acheni gubu jamani
 
Back
Top Bottom