African Football League ikifanikiwa ndio mpinzani mzuri wa UCL

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Baada ya Vilabu vikubwa vya Ulaya kufanya uasi juu ya UEFA na FIFA kwa kutaka kuanzisha Super League, FIFA chini ya Professor Wenger waliwaza ni vipi watapunguza kiburi cha Vilabu Ulaya?

Wakaja na jibu hili, waboreshe Intercontinental Competition toka mabara mengine ili hawa UEFA wapate mshindani wa kweli.

Baada ya hapo wa kaangalia kwa mfumo wa kawaida hamna bara jingine lenye effect kwa Europe kuzidi Africa because Amerika Kusini hata waanzishe mashindano makubwa yatakua soko lake ni America na Asia tu, hii ni kutokana na tofauti ya muda wa masaa.

Pili, Asia hamna strong timu zenye influence kubwa na upatikanaji wa vipaji ni mdogo.

Malengo
1. Vipaji vikubwa vya Africa na Asia vitumike Africa tu kwa zile timu za AFL.
2. Ndani ya miaka 5 ijayo AFL itakuwa na maokoto yanayolingana na UEFA kwa kutafuta wadhamini toka Asia na Africa hata Urusi huko.

Nitaendela baada ya mechi ya leo.
 
We jamaa.

Ila daaah, naheshimu mawazo yako
 
Back
Top Bottom