M mtatifikolo Member Joined Feb 9, 2008 Posts 43 Reaction score 7 Mar 21, 2009 #1 Ndugu wana bodi. Kama una mwanafunzi, mtoto, au kijana mwenye kipaji - mpe maelekezo aitafute hii shule baada ya Fom foo. Kila mwanafunzi anasomeshwa kwa scholarship. Since shule za vipaji Tanzania zimefutwa, heri waende huko. African Leadership Academy - Developing the next generation of African Leaders
Ndugu wana bodi. Kama una mwanafunzi, mtoto, au kijana mwenye kipaji - mpe maelekezo aitafute hii shule baada ya Fom foo. Kila mwanafunzi anasomeshwa kwa scholarship. Since shule za vipaji Tanzania zimefutwa, heri waende huko. African Leadership Academy - Developing the next generation of African Leaders
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,679 Reaction score 1,612 Mar 21, 2009 #2 Hii ya shule za vipaji Tz kufutwa ni kweli??? Yaani unasema Ilboru, Kibaha, Mzumbe je zimefutwa??? Hii ni sera ya serikali?? Watoto Watz wenye vipaji maalumu serikali inajitoa???
Hii ya shule za vipaji Tz kufutwa ni kweli??? Yaani unasema Ilboru, Kibaha, Mzumbe je zimefutwa??? Hii ni sera ya serikali?? Watoto Watz wenye vipaji maalumu serikali inajitoa???