African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
440
Reaction score
638
Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni.
Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo.
You won't regret!
Wanapatikana Instagram kama @africanmandem_tz
Twitter @ManDemAdventure

IMG-20221026-WA0001.jpg
IMG-20221027-WA0001.jpg
IMG-20221128-WA0000.jpg
IMG-20221026-WA0001.jpg
IMG-20221027-WA0001.jpg
IMG-20221128-WA0000.jpg
IMG-20230401-WA0059.jpg
IMG-20230402-WA0061.jpg
IMG-20230401-WA0063.jpg
 
Somangila ni kata mkuu, ni sehemu gani hasara maana kuanzia Muongozo, mwembemdogo, Geza, dege, cheka kote huko ni Somangila
 
$50 kwa wazawa (Bed and Breakfast+ access to swimming pool.)
$120 for foreigners.
 
Kula chuma hicho 😆
Hutajutia pesa yako.
 
Attachments

  • VID-20230407-WA0005.mp4
    13.3 MB
$50 kwa wazawa (Bed and Breakfast+ access to swimming pool.)
$120 for foreigners.

Mentality za kipumbavu kwamba mwenyeji ana bei yake na mgeni anabei yake, wafanyabiashara wapumbavu ndio ninyi sasa mfano wenu,
 
Sijawahi kuona upumbavu wa bei za foreigner na mwenyeji mataifa mengine ya mbele, chaji bei kulingana na huduma mtu atazotumia,
 
Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni.
Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo.
You won't regret!
Wanapatikana Instagram kama @africanmandem_tz
Twitter @ManDemAdventure

View attachment 2576381View attachment 2576382View attachment 2576383View attachment 2576381View attachment 2576382View attachment 2576383View attachment 2576417View attachment 2576418View attachment 2576420
Huweki simu kulinda usiri?
Ama kweli biashara ngumu sana bongo.
 
Sanaa inaendelea.
 
Attachments

  • VID-20230413-WA0003.mp4
    1.9 MB
Back
Top Bottom