African Mathematics

African Mathematics

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Nimeangali hio video clip, ina elimu nzuri na ya maana sana. Afrika imezalisha sayansi nyingi sana hapa duniani, sema tu ukoloni ndio uliharibu kila kitu. Jamaa kawa mweli sana na ile elimu kaitoa Afrika vijijini, sio mijini wala nini.
Thanks man.
 
Back
Top Bottom