Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Habari,
Naomba msaada wenu. Kama wewe ni mzee wa zamani au miaka ya 90 na 2000 ulikua unaenda Disko (Ulikuwa ushapevuka wakati huo), basi naomba uniorodheshee nyimbo zile mlizokua mnazicheza hasa za Kiafrika. Au hata kama ulikua unamsikia mzazi anauimba au kusikiliza wimbo wa zamani utaje hapa!
Kama kuna nyimbo za zamani unazozifahamu wewe zitaje, mimi nitazipakua then nikipata muda nitakua nazipandisha humu! Napenda sana nyimbo za wazee..
Kwangu nimeanza kukusanya nyimbo zoote za Tshala Muana na Monique Seka.
NOTE: SITAKI ZILIPENDWA ZA TANZANIA
Karibuni