African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed,Lissu & Bobi Wine

Tumbiliwaulaya

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
280
Reaction score
435
Hawa ni wapambanaji wawili ambao nyota zao zimeng'aa barani Africa kwa harakati zao za kupigania
1609660620014.png

haki,na demokrasia kwenye nchi zao bila kuchoka licha ya kupitia wakati mgumu lakini hawakukata tamaa hivyo mchango wao umetambuliwa.

The Official Opposition is the African Person of the Year – this battered collective person remains one of the most endangered species in Africa. But sometimes, they do win.​

DM 168 Year in Review: African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed

Lissu sasa hivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.
 
Tundu Lissu ni kichuguu na Bob Wine ni mlima huwezi kuwalinganisha bwashee!
 
Kibaraka Lissu hana umaarufu wowote siyo tu nje, Bali hats Tanzania.
 
Lisu atapita zeroooooo kama alivyopata kwenye uchaguzi hapa Tanzania
 
Lissu saivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.

Nenda kaangalie zoezi la kuchagua kiongozi bora uone nafasi ya rais wa Ghana v/s Tanzania kisha ulete mrejesho. Na ujue wapiga kura wengi huko ni watanzania na wanahasishana huku huku mitandaoni.
 
Mkuu nakuombea upande wako ushinde safari hii...

Usiposhinda basi ukawe mwanzo wa kujua upo upande usiopendwa mkuu.
 
Ashinde ama asishinde I don' t care as long as my vote sio kwa jiwe.
 
Ushinde ama usishinde I don' t care as long as my vote sio kwa jiwe.
Sasa akishinda tena hapa inamaanisha nini mkuu?

Maana NEC tulisema wameiba kura...hapa tutasemaje mkuu?
 
Mkuu nakuombea upande wako ushinde safari hii...

Usiposhinda basi ukawe mwanzo wa kujua upo upande usiopendwa mkuu.

Upande wangu uliwahi kushindwa lini, na kwa uchaguzi gani labda? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Nadhani yote yanaanzia kwenye kukubali JPM anawafuasi wengi saana....na style yake ya uongozi amejizolea wafuasi wengi.
 
Hawa ni wapambanaji wawili ambao nyota zao zimeng'aa barani Africa kwa harakati zao za kupigania
View attachment 1666300
haki,na demokrasia kwenye nchi zao bila kuchoka licha ya kupitia wakati mgumu lakini hawakukata tamaa hivyo mchango wao umetambuliwa.

The Official Opposition is the African Person of the Year – this battered collective person remains one of the most endangered species in Africa. But sometimes, they do win.​

DM 168 Year in Review: African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed

Watu wajinga hawataisha duniani, yaani watu wapuzi kama hao wanaotumiwa na mabeberu ndio unawasifia!! Kazi yao kuleta mauaji na vurugu tu, ovyo kabisa
 
Tundu Lisu ni kichuguu na Bob Wine ni mlima huwezi kuwalinganisha bwashee!

Tusivunjiane heshima mzee; nimekukosea nini hadi kusema Lissu ni mimi? Umeshaona ninaropoka ropoka mambo bila kufikiri hadi udhani mimi ni Lissu kweli?

Naomba u-apologize hapa kusudi nisiendelee kuchukua hatua za kisheria dhidi ya udhalilishwaji ulionifanyia.
 
Lissu saivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.
Watanzania gani unaowazungumzia! Mbona walimpa Kura za kishindo ila jpm akaziipa zota.
 
Back
Top Bottom