Tumbiliwaulaya
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 280
- 435
umefungua link sio maneno yangu bwasheeTundu Lisu ni kichuguu na Bob Wine ni mlima huwezi kuwalinganisha bwashee!
Lissu saivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.
Lisu atapita zeroooooo kama alivyopata kwenye uchaguzi hapa Tanzania
Mkuu nakuombea upande wako ushinde safari hii...Nenda kaangalie zoezi la kuchagua kiongozi bora uone nafasi ya rais wa Ghana v/s Tanzania kisha ulete mrejesho. Na ujue wapiga kura wengi huko ni watanzania na wanahasishana huku huku mitandaoni.
Mkuu nakuombea upande wako ushinde safari hii...
Usiposhinda basi ukawe mwanzo wa kujua upo upande usiopendwa mkuu.
Sasa akishinda tena hapa inamaanisha nini mkuu?Ushinde ama usishinde I don' t care as long as my vote sio kwa jiwe.
Sasa akishinda tena hapa inamaanisha nini mkuu?
Maana NEC tulisema wameiba kura...hapa tutasemaje mkuu?
Mkuu nakuombea upande wako ushinde safari hii...
Usiposhinda basi ukawe mwanzo wa kujua upo upande usiopendwa mkuu.
Daby umeniacha kwenye mataa ya Salender Bridge.Sasa akishinda tena hapa inamaanisha nini mkuu?
Maana NEC tulisema wameiba kura...hapa tutasemaje mkuu?
Nadhani yote yanaanzia kwenye kukubali JPM anawafuasi wengi saana....na style yake ya uongozi amejizolea wafuasi wengi.Upande wangu uliwahi kushindwa lini, na kwa uchaguzi gani labda? Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Watu wajinga hawataisha duniani, yaani watu wapuzi kama hao wanaotumiwa na mabeberu ndio unawasifia!! Kazi yao kuleta mauaji na vurugu tu, ovyo kabisaHawa ni wapambanaji wawili ambao nyota zao zimeng'aa barani Africa kwa harakati zao za kupigania
View attachment 1666300
haki,na demokrasia kwenye nchi zao bila kuchoka licha ya kupitia wakati mgumu lakini hawakukata tamaa hivyo mchango wao umetambuliwa.
The Official Opposition is the African Person of the Year – this battered collective person remains one of the most endangered species in Africa. But sometimes, they do win.
DM 168 Year in Review: African Person of the Year – The opposition – bloodied, not bowed
Happy New Year Sky.....Daby umeniacha kwenye mataa ya Salender Bridge.
Tundu Lisu ni kichuguu na Bob Wine ni mlima huwezi kuwalinganisha bwashee!
Watanzania gani unaowazungumzia! Mbona walimpa Kura za kishindo ila jpm akaziipa zota.Lissu saivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.