Nadhani yote yanaanzia kwenye kukubali JPM anawafuasi wengi saana....na style yake ya uongozi amejizolea wafuasi wengi.
Si unaona hii thread ya Lissu inavyoenda mwendo wa kinyonga, hadi muda huu ipo page ya 2 tu, Lissu ameshachuja, atarudi Tz kwa aibu sana huku mishavu ikiwa imejaaa na kulegea kama bull dog.Watanzania gani unaowazungumzia! Mbona walimpa Kura za kishindo ila jpm akaziipa zota.
Nani alikudanganya kwamba alipata zero? Kawaulize wasimamizi wa vituo watakwambia ukweli!Lisu atapita zeroooooo kama alivyopata kwenye uchaguzi hapa Tanzania
Nimecheka kweli. Jamaa anakuona wewe msema ovyo 😂😂😂Tusivunjiane heshima mzee; nimekukosea nini hadi kusema Lissu ni mimi? Umeshaona ninaropoka ropoka mambo bila kufikiri hadi udhani mimi ni Lissu kweli?
KasandaLissu saivi yupo level moja na Mrema, wote wameshatepeta, ile ongea yake ya kejeli, dharau na ujivuni imepotea baada ya kufunzwa adabu na watz. Siku hizi post zake humu hazifikishi hata page 3 tu.