Nikweli twahitaji kutazama upya tamaduni zetu ambazo tumeacha zikiporomoka kwasababu ya kuiga na kufuata kalibu kila kitu cha ulaya,america na nje ya africa kwa ujumla. Kwamfano, watoto siku hizi badala ya kusimuliwa au kusimuliana adithi watoto kuangalia katuni tu,kwamtindo huu hatujengi uwezo wa kufikiri kwa watoto jambo ambalo athari zake zinajionyesha baadaye ktk maisha yao na jamii kwa ujumla.