African Satellite World and Sat Gear

With a 90cm, for Press TV, use 12682H27500 on Intelsat 20 or 11641H27500 on Eutelsat 7WA & for RT use 12015V29950 on SES 5

Sent using My Mulika mwizi
In addition to the above, RT + RT Doc can also be found on NSS12, use 65cm if in EA
 
Mkuu thaman yake dishi hili ni kama sh ngapi. Je naweza kutumia kisimbuzi cha. Ndani ya tv yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dish mpya kama 40 - 60 yapo kibao pale msimbazi na Lnb elfu 10. Kuhusu kisimbuzi cha ndani sidhani. Wengi wanakamata Dizzim TV. n.k

Si unge search uone nini kinapatikana.
Mi napenda kisimbuzi cha nje.

Freq alizokupa jamaa ni dish dogo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
which lowest dish size to nab 7w in D'salaam
 
Guys hapa itabidi we look for a 10ft sample....





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Broo namaana pale kwenye tv naambiwa nitumie satelite dish kupata chanel nachouliza nikafunga huili dish naeza pata chanel husika kwa kutumia kisimbuzi cha ndani ya tv nikitumia hili dish kaka. Samahani lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you for the follow up, now its only for someone to donate the 10ft BUD to be used as a mould and he will get it back after the fiber glass reproduction.

Thats the only piece missing now .... hope somene donates


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…