OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ajib anapendwa sana na Mo na hata Haji,ni kama wanataka kumpunguzia njaa tu,maana anaweza pishana na back to back 10.Hilo beki la azam liko vizuri... Ajibu si mbaya ila usajili wake sijaupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huruma ya bosi..ngoja arudi ale neema ya nchi!Huyo ajibu wa nini sasa. Aaah atatuletea tu gundu zake hapo msimbazi.
Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...View attachment 1055892
Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.
Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.
Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
Sasa wewe kwa wachezaji wa ndani ungemsajili nani kama kiungo mshambuliaji tofauti na Ajibu? Kumbka wa nje wanatakiwa 8 tuHuo usajili nadhani hauja focus kushindana kimataifa. Ajibu hafiti hataka kidogo kwa simba ya sasa ivi ilivyo. (hawezi mpira wa kasi) binafsi sijaafiki Ajibu kurudi hapo kikosini. Ilipaswa kufocus kushindana kimataifa zaidi kwakuwa naamini mwakani tena simba inaweza shiriki mashindano ya club bingwa, hivyo ni wakati sasa wa kusajili wachezaji wenye viwango vya ushindani wa kimataifa kulingana na bajeti.
The same source ndiyo ilisema habari ya Simba kunyunyiza dawa kwenye vyumba vya timu ya AS Vita. It seems it is such a reputable source. We should take them seriously.View attachment 1055892
Nafanya kuwanyunyizia vurugu za Simba kutoka vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo international reputedly social media.
Yakubu ni beki wa Azamu FC anaye maliza mkataba wake. Rais wa Ghana.
Ushauri
Simba tuko na hela na mingi( Bi Hindu anasema tunaweza kununua Yanga yote pamoja na bakuli lao) ila tuache papara kama tunataka kuwa mabingwa watarajiwa wa Afrika.
Waziri gani? Rostam naye ni Yanga fanManji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
Acha kudhalilisha Wanawake au mbona haumuheshimu mama ako.Manji ndio alisema hadharani ana uwezo wa kuinunua Mikia yote Na majengo yao..Bi Hindu yuko menapouse sio wa kumtilia maanani..aseme Mo mibillionaire ya Yanga imchallange...hivi pale kilabuni kwenu mna makochi ya leather maana Jana waziri kaenda Jangwani...
Una Rashid Juma , Chama, Niyonzima na Gyan, Mo huyo Ajib wa kazi ganiHuyo ajibu wa nini sasa. Aaah atatuletea tu gundu zake hapo msimbazi.
Kwanza Ajibu hana uwezo wa kumuweka benchi mchezaji yoyote pale simba wanaocheza position yake.Huo usajili nadhani hauja focus kushindana kimataifa. Ajibu hafiti hataka kidogo kwa simba ya sasa ivi ilivyo. (hawezi mpira wa kasi) binafsi sijaafiki Ajibu kurudi hapo kikosini. Ilipaswa kufocus kushindana kimataifa zaidi kwakuwa naamini mwakani tena simba inaweza shiriki mashindano ya club bingwa, hivyo ni wakati sasa wa kusajili wachezaji wenye viwango vya ushindani wa kimataifa kulingana na bajeti.
Yakub it is ok ila kosa kubwa tutakuwa na defence ya wavhezaji wafupi wote na siyo wazuri kwa mipira ya juu ukiondoa nyoni peke yakeKama Yakub Mohammed namkubali ,ila Ajib mmh