African Super League inaanza October

MOTSOPE alidanganywa na BABRA kuwa Simba ndio timu kubwa Tanzania na akaingia kingi, Sasa anaonja aibu baada ya kuona performance na nyomi la wananchi wenye mzuka kwenye mechi za KIVUMBI na JASHO na Paredi za ubingwa
 
Huu Uzi wa michezo
Ndio maana dp world wanaitaka Tanganyika maana badala ya kujadili Hoja iliyoko mezani watu wameanza kujadili yanga haipo mara ni timu ndogo.
 
Kutakua na ligi ngapi za CAF na ratiba itakuaje mwenye kuelewa anipe elimu
 
Kuna habari niliwahi sikia siku za nyuma inasema mwana fa kama waziri kaenda kwa motsepe kuiombea yanga nafasi kwenye michuano hiyo. Kama ni kweli ile habari basi inadhirisha tulivyo na viongozi wabovu.
 
Hiyo habari ni ya ukweli
 
ukiona mtu anatoa maelezo mengi jua ni MUONGO na anataka watu wauamini uongo wake.
 
Muda SI mrefu TAIFA LINAENDA KUAIBIKA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ