1.Afagie uwanja wa nje ya nyumba.
2.Aende kisimani kuteka maji(marudio ndoo kadhaa mpk zitoshe mahitaji ya nyumbani kwake)
3.Adeki nyumba,apike(jiko labda la mkaa unapika kimoja kimoja mpaka viive mmmnh kazi.....
4.Aandae watoto kama anao wadogo,Afue nguo kwa mkono
..........Jamani hivi ikifika usiku hamjachoka tu kwa ajili ya uroda???????hii topic ni mahususi kwa wakaka wa JF kuwaambia aste aste jamani mtuonee huruma TUNACHOKA ATIIIII......
Mama anaamka kupika chai. .Baba anaoga na kupiga mswaki.
Mama anaandaa watoto. . Baba anakunywa chai.
Mama aapiga brush vatu vya baba. .baba anasoma gazeti.
Mama anafagia uwanja. .baba anaaga.
Mama anakunywa chai. . Baba yuko kwenye foleni.
Mama anafanya usafi ndani. . Baba anaflirt na secretary akiingia kazini.
Mama anafua. . Baba anapitia report ambazo hakuandika yeye.
Mama anawahi sokoni/gengeni. . Baba anapitia contacts zake kwenye simu ajue nyumba ndogo ipi aitoe lunch.
Mama anapika lunch baada ya kuchemsha maharage. .baba yuko Break Point na Aisha.
Mama anachukua break ya dakika 10 kabla watoto hawajarudisha fujo nyumbani. .baba anamdrop Aisha ofisini kwake.
Mama anapokea watoto/wanapata lunch. .baba anaongea na Rosie kujua ampitie saa ngapi.
Mama anapambana na watoto wasaidie hata vyombo. .baba anafanya kazi kidogo.
Mama anasalimiana na jirani. .baba anajibu text msg ya Jackie kua hata yeye kammiss sio kidogo.
Mama anatoka kidogo akamsalimie binamu yake hosp. .baba anafanya fanya kazi kivivu. Secretary kasimama kwa pozi mlangoni maana boss anauliza uliza maswali ya kizushi huku akimvua nguo kwa macho.
Mama anaanza kuangalia mpango wa jioni baada ya safari ya hosp. .baba yupo "kwenye foleni" na Rosie wake wanaelekea Kona Bar.
Mama na kazi, kazi na mama. . Baba anakula nyama choma na Rosie huku wakishushia na bia/wine zao maana Rosie yuko mwezini.
Mama anamwagilia maua na watoto. .baba anamweleza Rosie namna gani anavyompenda na kumwambia 'ile gari yako' itafika soon.
Mama anakusanya watoto ndani/anawajulia habari za shule. . Baba kajishibia wanajazana maneno ya kimahaba na Rosie.
Mama anampigia baba simu "chakula tayari baba nanii, niko na watoto tunakusubiria". . Baba "niko na John hapa tunaongea mambo ya biashara. Nyie endeleeni."
Mama anapakua chakula kinaliwa. . Baba anamkodia Rosie taxi maana 'anawahi nyumbani'.
Mama analaza watoto. .baba amepita kwa Rehema mara moja kumwachia pesa ya kodi maana ni mwisho wa mwezi.
Mama anamsubiria baba. . Baba yuko njiani, simu sikioni anamtongoza Angel.
Mama kachoka. . Baba kafika anasema hana njaa maana John alimlazimisha wale wote.
Mama anamwandalia baba maji ya kuoga. . Baba anasafisha in/out box na call log.
Mama anajilaza kitandani kausingizi kanamnyemelea kwa uchovu. .Baba anaoga.
Mama kapotelea usingizini. . Baba anataka unyumba.
What a day!!!