Africans, give them a gun & they'll kill each other-pw bptha 1985.

Africans, give them a gun & they'll kill each other-pw bptha 1985.

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
3,792
Reaction score
2,365
Jana katika taarifa ya habari ya Star TV, Meya wa Ilemela akizozana vikali na maneno mengi yasio staha wakati madiwani na mbunge wa ilemela walipogusia ukiukwaji wa kanuni, ameonyesha ujinga mkubwa ambao umenifanya nitafakari sana jinsi sisi waafrica tulivyo. Matendo yetu mengi yanafanya tuonekane wajinga na tusiojitambua kabisa.

Kwamba anajisifu kuwafukuza madiwani wa CHADEMA waliolalamikia ukiukwaji wa kanuni. Na hata uongeaji wake unaonyesha ulevi mkubwa wa umeya, mapungufu makubwa na uwezo. Nilipata shida katika kutafakari alokuwa anayazungumza, mtu wa namna hii anakuwa mfano gani sasa kwa watoto wake au hata vijana wadogo wanaofikiria kuongoza wengine. Mtu wa aina ya huyu mtu wanawezaje kuongoza hata familia zao, achilia mbali kata.

"Sometimes Africans are a symbol of idiot if you look at how they do things"
 
Tabia mbovu ya mtu unaihusishaje na ngozi yake?
 
Back
Top Bottom