Knowlegde for what? Elimu si ndio itakufanya uwe na maisha mazuri. Au unapenda kuwa profesa wa sifa. Kalaghabaho, Knowledge sio lazima UDSM hata Modern college inasaidia. Ngojeni mkimaliza mje uraiani na visifa vya mlimani mkipewa kazi mshindwe kufanya.
Mama weeee! UDOM wameenda wapi? Big up to UDSM. Very nice.
Of course nakubaliana na wewe...matatizo yapo kwa kila Chuo...nilikuwa najaribu pia kutoa changamoto kwamba nbado tuna safari ndefu...Hili la Jukwaa husika nadhani linajijibu lenyewe baada ya mods kuhamishia huku jukwaa la elimu[/QU
Ni kweli bado UDSM kina changamoto nyingi za kufikia kiwango cha sisi kujisifu kwamba tuna angalau the Best University East and Central Africa lakini hivyo vyuo vingine ni uozo kabisa. Nenda DIT watu wanasoma BEng kwa masaa 4 kwa siku(evening class) halafu miaka mitatu then wanapewa Uprincipal Engineer na Umeneja TANESCO, Hivi kweli wanaweza kureason na kutoa proper technical judgement kweli?Ndio maana Mashirika yetu ya UMMA yanakufa kwa kuamini short cuts. UDSM huwezi kukuta shortcuts ndo maana watu wengi walodisco hasahasa FOE(now COET) wanachukia sana neno UDSM likitajwa masikioni mwao.
[h=2]METHODOLOGY[/h] First, as with any similar list that determines which universities are "best," Africa.com collected both quantitative and qualitative data to determine which universities in Africa would make our Top 10 List.hiii list ina walakini mkubwa sana haiwezekani UDSM iwe juu ya UCT , anyway pia ukiiangalia product za UD miaka hii hata hazinishawishi. kwa mfano kulinganisha product ya UD na Mzumbe katika baadhi ya field UD wanakuwa Chini sana, Kuna wanafunzi tumekutana miaka 3 iliyopita katika HR na Uhasibu wanafunzi wa UD walikuwa vilaza kweli huko maofisini ukilinganisha na wale wa mzumbe but UD wao wanaishia kujisifia kuwa wanatoka chuo bora tunataka huo ubora uonekane katika utendaji kazi na sio blaa blaa
hiii list ina walakini mkubwa sana haiwezekani UDSM iwe juu ya UCT , anyway pia ukiiangalia product za UD miaka hii hata hazinishawishi. kwa mfano kulinganisha product ya UD na Mzumbe katika baadhi ya field UD wanakuwa Chini sana, Kuna wanafunzi tumekutana miaka 3 iliyopita katika HR na Uhasibu wanafunzi wa UD walikuwa vilaza kweli huko maofisini ukilinganisha na wale wa mzumbe but UD wao wanaishia kujisifia kuwa wanatoka chuo bora tunataka huo ubora uonekane katika utendaji kazi na sio blaa blaa
Ulikuwa unalinganisha visivyolingna. UDSM hakuna product hata moja ya HR mpaka sasa, mwakani ndio Bussiness school watatoa product ya kwanza. Kilichokuwapo UDSM miaka yote tangu 1960's ni Public Administration, Economics, Law na Sociology ambao wamekuwa wakiajiriwa kwenye field za Administration na HR. Mimi nafanya kazi na Dada mmoja alimaliza Mzumbe. Haki ya Mungu kama tutafanya Judgement kwa kutumia vyuo kama ulivyofanya wewe...hatari sana. Utadhani hata Form 6 hakumaliza achana na kufaulu. Lakini binafsi huwa nafikiri ni matatizo yake sio ya Chuo. Mzumbe ilikuwa enzi hizo wakati kikiwa Polytechnic Institution sas hivi ni maharage ya Mbeya. Ukitaka Masterz ya kujichukulia ili upandishwe Cheo ofisini nenda Mzumbe Dar Bussiness School. Mtu hana background hata kidogo kwenye HR lakini anapata admission ya M.A na kupata First Class.hiii list ina walakini mkubwa sana haiwezekani UDSM iwe juu ya UCT , anyway pia ukiiangalia product za UD miaka hii hata hazinishawishi. kwa mfano kulinganisha product ya UD na Mzumbe katika baadhi ya field UD wanakuwa Chini sana, Kuna wanafunzi tumekutana miaka 3 iliyopita katika HR na Uhasibu wanafunzi wa UD walikuwa vilaza kweli huko maofisini ukilinganisha na wale wa mzumbe but UD wao wanaishia kujisifia kuwa wanatoka chuo bora tunataka huo ubora uonekane katika utendaji kazi na sio blaa blaa
Hii funga kazi. Siongezi neno hapaUbora wako binafsi utakusaidia zaidi........
ni wangapi walisoma shule za kata waka score division one na wangapi wamesoma mishule mikubwa, ya kimataifa, na kingwe na waka pata sifuri....
Udsm kwa umri wake,miundombinu iliyopo,rasili mali watu walonayo..ni lazma kwa kwa tz kita rank cha kwanza kwa muda mrefu sana...ila ikumbukwe pia kwa kua udsm ndo chuo pekee kilichokuwapo kwa muda mrefu.....kufanya vizuri ama vibaya kwa udom,mzumbe etc ni sifa pia ama aibu kwa chuo cha udsm kwa kua wao ndio waliokua na jukumu la kuwaandaa wataalamu ama wanataaluma ambao wangetumika ktk vyuo vipya....
UDSM ina rank juu hata mimi nakubali lakini je? wewe binafsi una rank gani? je kwa uwezo wako ama utendaji wako ama mchango wako ktk tanzania na jamiii kwa ujumla unawazidi hao walio soma huko Udom ama Mzumbe? je wewe binafsi una uwezo/taaluma ama uelewa kuzidi hao wa Udom na mzumbe?...
UDSM Hoyeeee bt kila mmoja ajitathmini yeye na si kimafungu...ni aibu iliyoje kwa wewe kua kilaza ili hali chuo ulichosoma wewe kina rank high! Ni uhodari gani kwa sisi tulosoma huko Udom,Mzumbe na kwingineko na tunafanya vizuri kiutendaji ktk jamiii.....
Je wewe umechangiaje ktk kukifanya chuo chako ku rank ktk nafasi hiyo?
Changamoto zipo tena si kidogo ktk vyuo vipya kama Udom........na ni kawaida kwa upya wake..nawatia moyo na pia kuwapongeza mlio kuwa ktk vyuo vipya kama udom kwa uvumilivu wenu na kujituma kwenu kusoma ktk mazingiira magumu na yenye changamoto kibao.eg uhaba wa waadhiri na facilities zingine.....
Udsm watendeeni haki wa tz kwa kuwa allocate kuvijengea uwezo vyuo vingine vipya kama Udom....ukweli ni kwamba some years to come Udom itaimarika na kua moja ya best and big university kama Udsm.
narudia kusema UBORA WAKO WEWE NI WA MUHIMU SANA usivimbe kichwa kwa chuo chako ku rank high ama down.
| 1 University of Cape Town | South Africa |
|
| 2 Universiteit Stellenbosch | South Africa |
|
| 3 University of Pretoria | South Africa |
|
| 4 University of the Witwatersrand | South Africa |
|
| 5 University of KwaZulu-Natal | South Africa |
|
| 6 University of South Africa | South Africa |
|
| 7 Cairo University | Egypt |
|
| 8 The American University in Cairo | Egypt |
|
| 9 Rhodes University | South Africa |