Africa's 100 top universities 2012

Panga pangua in Africa, University of Capetown is the #1 university in Africa. Ukiona haiko basi hiyo source is bogus!!

Mkuu Sherrif,
Nakubaliana na wewe kuhusu maoni yako juu ya hii rank ya mdau aliyoanzisha thread ina walakin na kwa kuongezea UDSM ni chuo kikuu bora kuliko vyuo vyote vya Afrika Mashariki.
 

Hii ranking ni fake siku zote university za south huwa zinachukua nafasi kumi za juu
 
Jaman kwa udsm
Kwel maanake mambo tunayopata hatari#yaan hakuna maneno huku but vitendo had busy muda wote
 

well said,
 
naam tanzania nasi tupo kwenye chati but bado tunaitaji vyuo vingi zaidi viwe kwenye chart
 
well said kiongozi maana ake kuna zucchin zinaenda kuxoma udsm au sua wakat wanachukua degree za kutengeneza maua badala ya kufikiri jinsi ya kupiga mkwanja baada ya masomo matokeo yake wanabaki na kujitangaza eti chuo flani bora. wamesau mtaani hakuna ki2 iko. taahira muache na utaahira wake.
 
Mimi ni hapo kwenye namba 6. nimeruka na vitofali viwili.[QUOTE=dopamine-B;4734361]Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking


1 University of Cape Town
South Africa


2 Universiteit Stellenbosch
South Africa


3 University of Pretoria
South Africa


4 University of the Witwatersrand
South Africa


5 University of KwaZulu-Natal
South Africa


6 University of South Africa
South Africa


7 Cairo University
Egypt


8 The American University in Cairo
Egypt


9 Rhodes University
South Africa


10 University of the Western Cape
South Africa


11 University of Dar es Salaam
Tanzania


12 University of Johannesburg
South Africa


13 University of Botswana
Botswana


14 University of Nairobi
Kenya


15 University of Ghana
Ghana


16 University of Lagos
Nigeria


17 Mansoura University
Egypt


18 Makerere University
Uganda


19 Ain Shams University
Egypt


20 North-West University
South Africa


21 Université Cadi Ayyad
Morocco


22 University of Khartoum
Sudan


23 Université de la Reunion
Reunion


24 Kwame Nkrumah University of Science and Technology
Ghana


25 University of Mauritius
Mauritius


26 Cape Peninsula University of Technology
South Africa


27 Universidade Eduardo Mondlane
Mozambique


28 Université Cheikh Anta Diop
Senegal


29 The German University in Cairo
Egypt


30 Assiut University
Egypt

more - 2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…