Africa's best Safari countries 2018

yet the Kenyan economy is larger and more recognizable than all those insignificant countries mentioned...smh...miafrika sijui nani alituroga
 
Poor Kenya wamezidiwa hadi na Zambia

Kuna kitu huwa sielewi, kwanini Tanzania iwe inaongoza Afrika kwa vivutio vya utalii lakini pia ndio maskini wa kutupwa, hela huwa mnapeleka wapi au mnacheza kamari/bettings.
 
bravo countries for doing well. the next thing is to make free movement of tourists one country to another.

eg dangote needs 30 visas to travel in Afrikan countries, but need only one visa to travel almost the entire European continent.
 
yet the Kenyan economy is larger and more recognizable than all those insignificant countries mentioned...smh...miafrika sijui nani alituroga
Watu wanaongelea safari countries wewe upo kwenye economy. Does it make any connection??😂😂😂😂😂 Nisawa na China anvyo kuha kwa kasi kiuchumi alafu Marekani ijigambe na GDP kubwa. Does it make any connection??
 
I can see you are on the laiti tlaki geuza ulaliwe. Ule upuuzi ulikuwa unapost usiku wa manane haupo tena.
All credit goes to the mods
Uleupuhuzi wa Hamstere?? Amekula block lakufa mtu akaja na ID mpya😂😂😂😂
 
Ametoka Tanga kumbe? Mtanzania mwenzako lakini unamponda kwa kuwa maoni yake na yako hayaandamani.
Pitia hii latest news kwanza 😂😂😂😂😂 👇👇👇👇👇Nikuwekee sula yake kama nilivyoweka yako???😂😂😂😂
 
Pitia hii latest news kwanza 😂😂😂😂😂 👇👇👇👇👇Nikuwekee sula yake kama nilivyoweka yako???😂😂😂😂
Hiyo ni kshs 20 billion very little money but much for an LDC. Weka sura yangu tena buda.
 
Kuna kitu huwa sielewi, kwanini Tanzania iwe inaongoza Afrika kwa vivutio vya utalii lakini pia ndio maskini wa kutupwa, hela huwa mnapeleka wapi au mnacheza kamari/bettings.
Utajiri wa Kenya uko kwenye makaratasi labda na William Ruto ila sehemu nyingine Kenya Maisha ni magumu sana watu wanaishi kwenye full suit za bati kama mizigo store. Na wewe uko busy hapa unatafuta sifa za kijinga
 
Kuna kitu huwa sielewi, kwanini Tanzania iwe inaongoza Afrika kwa vivutio vya utalii lakini pia ndio maskini wa kutupwa?.
mimi mwenyewe huwa najiuliza, kwanini wakenya licha ya kwamba mnazungumza lugha ya kingereza ambayo kwa namna fulani imekuwa regarded kama lugha ya watu waliostaarabika, mnaishia kubaka wanyama kama ng'ombe, punda, kuku, mbuzi nk.

ukitaka ushahidi toka katika kisa cha hivi karibuni nitaleta.
 
yet the Kenyan economy is larger and more recognizable than all those insignificant countries mentioned...smh...miafrika sijui nani alituroga
So who are you to argue those numbers? Imeletwa takwimu ya tourism unaongelea general economical situation, a hammer has head as the same way as a human, luckily, a human's head got brain. Use it effectively buda!
 
Kaka ustaraabu na Kenya bara ni kama mafuta na maji havichanganyikeni kabisa, Ni watu wa hovyo kila nyanja ni aibu hata kusema. Ustaraabu vinaendani sana utamaduni wenzetu hawana utamaduni kama taifa kwa hiyo hataweza kuwa wastaraabu/Wagwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…