ohh kumbe zitakazo kamilika zitakazoπππMkizijenga mtutag lakini kwa sasa tuongee ongoing projects.
Wind power ishakamilika bado kukamilika kwa power transmission lines zinazokamilika August 2018. By the way ni 310 MW
Turkana power line to move electricity from Loiyangalani to Suswa
Mkizijenga mtutag lakini kwa sasa tuongee ongoing projects.
Wind power ishakamilika bado kukamilika kwa power transmission lines zinazokamilika August 2018. By the way ni 310 MW
Turkana power line to move electricity from Loiyangalani to Suswa
Hapo naona renders na vyuma kukaza sijui hadi WB waokolee jahazi.
uhahhah render au sio umeangalia hio video vzrππππππHapo naona renders na vyuma kukaza sijui hadi WB waokolee jahazi.
Render na vumbi wimbo ni ule ule
hehhehe roho imekuuma vzr umeona ile videoππππππRender na vumbi wimbo ni ule uleView attachment 761223
Hiyo Turkana ipo wapini-tag baada ya kujengwa! kwa sasa tunaongelea vitu zinazo exist.
Hii ni March???ππππ tuko May na nikikwambia vyuma vimekaza unakula mori...weka picha latest or else vyuma vimekaza.uhahhah render au sio umeangalia hio video vzrππππππ
To be...Hahahahaha!!!Project ni 310 MW...largest in africa
enhh tushaingia mayππππ so leo ni 30th may au sioππππHii ni March???ππππ tuko May na nikikwambia vyuma vimekaza unakula mori...weka picha latest or else vyuma vimekaza.
Tuko may kwani 1 day makes a difference? vyuma vimekaza hukoππenhh tushaingia mayππππ so leo ni 30th may au sioππππ