Africovid International Tanzania ni wakina hawa?

Kitwego

Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
14
Reaction score
13
Jamani kuna hawa jamaa wanaitwa Africovid International Tanzania, nimeona wametangaza nafasi za kazi mbalimbali kama 87, humu ndani kuna anayewafahamu, na hili tangazo mbona kama utapeli upo nje kwa nje!

Msaada tutani.
 
Matapeli hao. Kimbia.
Ukituma application, wanakujibu e mail utume kiasi kadhaa cha interview, blah blah.
 
Kimbia fasta, toka nduki we kimbia...
 
Deadline ilikuwa juzi, nikapotezea ku apply nlihisi Kuna ulakini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…