2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Mangbetu ni watu kutoka Central Afrika wana ishi Kusini mwa Zande ndani ya kaskazini mashariki nchini congo.
Hili kabila linajikita na kutanua na kurefusha vichwa vya watoto wao, kama njia moja wapo ya kuabudu miungu yao.
Wana amini kumfanyia head elongation mtoto ni ishara ya urembo na kuwa na akili na maalifa kwa watoto wao.
Kiufupi hacheni Mila na desturi kandamizi kwa watoto, haikubaliki kubana kichwa cha mtoto kiasi ambacho hata fuvu la kichwa linaweza kupasuka.
Watoto wanaweza akapata kiwewe au utindio wa ubongo uwo ni UKATILI wa kijinsia haikubaliki.
Chanzo creepy. org