Duh kweli kazi ipo?
Rufiji chanzo chake ni mikoa ya Morogoro
Mto Nile chanzo chake sio mto bali ni ziwa Victoria yaani ni sayari mbili tofauti,
Ulisoma Geography angalau ya darasa la nne kweli?
Shule ni kitu kimoja muhimu sana!Duh kweli kazi ipo?
Rufiji chanzo chake ni mikoa ya Morogoro
Mto Nile chanzo chake sio mto bali ni ziwa Victoria yaani ni sayari mbili tofauti,
Ulisoma Geography angalau ya darasa la nne kweli?
Kweli kutulia darasani sio kuelewa somoHuyu alienda shuleni kusomea ujinga hakika.
Acha kuhamisha goal post, ni nani hajui kwamba Ke, Ug na Tz(East Africa Protectorate) tulikuwa koloni la muingereza hizo enzi nchi za ukanda huu zilipopata uhuru? Nimetumia jina mkoloni 'in general' katiba mnayoitumia hadi sasa hivi iliandikwa kutumia version ya muingereza, 'Westminster model'. Imefanyiwa 'ammendments', marekebisho pekee yake, mara kadhaa. Sasa ni jukumu lako kutuonesha hiyo katiba mpya unayosema mliandika.Mungiki anapomfundisha mtanzania history Unajua hata German ilitawala lini Tanganyika kweli? Kwa hii pumba maana yake hata waingereza walikua wakiitumia katiba ya mjerumani, kunywa gongo taratibu bila kusumbua watu
Unaweza kumkagua ukamkuta anacho cheti tena grade one
Unajua hata Selous ilipo? Unajua geography ya nchi yako kweli? Selous na mto Nile wapi na wapi? Utakua na vyeti kama unavyo at all
Saivi kumbe tuna katiba "tuliyoandika" kwa kutumia version? Mbona ulisema katiba tuliyonayo ni ya Germany?Acha kuhamisha goal post, nimetumia jina mkoloni 'in general' katiba mnayoitumia hadi sasa hivi iliandikwa kutumia version ya muingereza. Imefanyiwa 'ammendments', marekebisho pekee yake, mara kadhaa. Sasa ni jukumu lako kutuonesha hiyo katiba mpya unayosema mliandika.
Duh kweli kazi ipo?
Rufiji chanzo chake ni mikoa ya Morogoro
Mto Nile chanzo chake sio mto bali ni ziwa Victoria yaani ni sayari mbili tofauti,
Ulisoma Geography angalau ya darasa la nne kweli?
Yani wewe umeelewa vizur kabisa,kwavile walitawala Tanganyika wanafaham vizur eneo husika hivyo wakatoa maoni yao baada ya kusikia mchakato wa Tanzania kujenga bwawa na kufua umeme,lakini kuna watu humu wanahisi icho kikao ndio kitatoa maamuzi ya either lijengwe au lisijengweWamepiga chini kipi? Mbona mnajadili kimihemko bila kutumia uhalisia? Hilo bunge lilikua likishauri na kutoa mapendekezo kwa serikali ya ujerumani juu ya mradi wetu, na wakashauri serikali yao ifanye mazungumzo na serikali ya Tanzania kuhusu option ya kujenga kinu cha kufua umeme wa gas badala ya mradi wa Rufiji, na sio kama limetoa hayo mapendekezo yao kwa serikali ya Tanzania au kuzuia mradi usitekelezeke.
Tanzania tuna msemo ,,shamba la bibi “ ukielewa asili ya huu msemo utaelewa uhusiano wa Ujerumani na Selous, hilo eneo lote lilikuwa mali ya Kaiser wa Ujerumani, Kaiser akamzawadia Mke wake hilo eneo lote kama zawadi ya birthday na, ndipo huo msemo ulipotokea, shamba la bibi, yaani eneo la Mke wa Kaiser.
Chanzo; kwetu ni Rufiji!
Mto Nike utaathirika kivipi?wakati unafundishwa geography darasani hukua makini haya ndio madhara yake...
Kwa hiyo mto unaozalisha megawatts zaidi ya 2000 kwako ni mdogo? Ni wapi Nile umetajwa hapo? Rufiji ni kati ya mito mikubwa sana Africa."Katika azimio lao vyama hivyo vimesema mradi huo mkubwa wa kuzalisha nishati ya umeme utavuruga mfumo wa mto mmojawapo mkubwa barani Afrika."
Cc: mahondaw
Nimekusoma japo sijakuelewa vizur,wewe na Magu nani and akili za ajabuSina uhakika na hili ila kuna nadharia inasema nchi ya Qatar ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Dar. Kwa ufupi Dar ni kubwa! Sasa kukata miti kwa eneo lenye ukubwa wa Dar ni hatari kubwa! Tujaalie hata ukubwa wa hicho kisiwa cha Unguja ila bado ni eneo kubwa sana. Yaani kana kwamba hatuna njia nyengine mbadala.
Gas si tunayo! Binafsi tahadhari aliyoitoa Mh. Nape ni yenye faida na ushauri waliyotoa Bunge la Ujerumani ni mzuri. Mbali na hayo Selou ni miongoni mwa mbuga za Taifa, Ila Magu ni Rais mwenye akili za ajabu.
mkuu una maanisha MTO Nile?Mto Nike utaathirika kivipi?wakati unafundishwa geography darasani hukua makini haya ndio madhara yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema katiba ni ile ile mlioachiwa na mkoloni, ambaye ni muingereza. Sijataja mjerumani popote. Azimio la arusha ndio ilikuwa ni katiba mpya? [emoji15] Aisee, MK254 muelimishe huyu Madenge kuhusu nchi yake. Anajifanya kwamba hanielewi hata kidogo. [emoji1]Saivi kumbe tuna katiba "tuliyoandika" kwa kutumia version? Mbona ulisema katiba tuliyonayo ni ya Germany? Katiba yetu ni ya 1977, Unajua azimio la Arusha wewe?