Afrika kazi bado ipo, nimeshangaa kwamba Tanzania bado ni koloni la Ujerumani

huyo mjeremani alijenga barabara ya kutoka DC HQ to Morogoro kupitia hifadhi ya Selou... baadae tukaja tuka weka ipite hii kilwa road to DSM to Moro... sasa wao na sisi wakina nani walikuwa wapo sahihi? ktk kutunza rasilimali hiyo...

hiyo DC HQ wameenda ichomeka ktk hifadhi zamani saa kumi jioni misimba tu ina lia...

Boma la Utete #YoungD Song...

nalikumbuka boma la mjeremani Utete/Rufiji na nikiliona lile la Dodoma kwa waziri mkuu yani hayana tofauti kabisa hadi uelekeo/direction na sehemu yenye muinuko....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika hatujijui hatujitambui. Wao "wahisani" wanachangia bajeti yetu yaani pesa za matumizi yetu ya ndani wanatusaidi ni sawasawa na wewe unasaidiwa matumizi ya nyumbani kwako kwa mkeo na watoto pesa ya kula na kulipia umeme na maji pili pesa za maendeleo yaani nyumbani kwako mnanunuliwa nguo na viatu sio peke yako ni pamoja na mkeo na wanao tatu madawa ya ukimwi tatu pesa za maendeleo ya elimu pesa zinatoka hukohuko uzunguni. Wasiwasi wao zaidi baada ya mradi athari zitakazo tokea hamtaziweza kuzimudu itabidi wao watoe mapesa mengi zaidi ya kuwatatulia matatizo mlioyasababisha ninyi wenyewe. Wao ni ushauri tu wameutoa kwa sababu bi "mdau" wa "kula" na "maendeleo" yetu. Usishangae kwanza uelewe hao "wahisani" kwa nini watujadili mipango yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema katiba ni ile ile mlioachiwa na mkoloni, ambaye ni muingereza. Sijataja mjerumani popote. Azimio la arusha ndio ilikuwa katiba mpya? Aisee, MK254 muelimishe huyu Madenge.
Umesema wabunge wa ujerumani wanaojadili kuhusu mambo yetu ndio waliotuachia katiba, sasa unabisha wakati comment yako ipo page ya kwanza? 😂😂😂😂 Huyu Mungiki vipi? Unataka kuichallenge technology? Ogopa Mungu na technology? Go back to the first page of this Thread incase kama gongo ipo higher voltage now compared to previous.

Halafu hata hujiulizi ni kwanini tunakuambia katiba yetu ni ya 1977 na sio ya 1961 au unafikiri hatujui kwamba 1961 - 1976 tulikua tupo huru? 😂😂😂😂

Huwezi kutufundisha watanzania history yetu au unafikiri unahojiana na Mungiki wenzio huku?
 
Kwa hiyo mto unaozalisha megawatts zaidi ya 2000 kwako ni mdogo? Ni wapi Nile umetajwa hapo? Rufiji ni kati ya mito mikubwa sana Africa.

Unapozungumzia mito mikubwa Barani Africa hiyo ndiyo mikubwa...

1) River Nile - 6,650km
2) River Congo - 4,700km
3) River Niger - 4,200km
4) River Zambezi - 2,693km
5) River Ubangi - 2,270km
6) River Kasai - 2,153km
7) River Orange - 2,92km
8) River Limpopo - 1,800km
9) River Senegal - 1,600km

Alafu tuangalie:
River Rufiji unaousemea - 600km hichi ni ki-bwawa tuu

Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana. Mnatetea hata ujinga.

Cc: mahondaw
 
Mto Nike utaathirika kivipi?wakati unafundishwa geography darasani hukua makini haya ndio madhara yake...



Sent using Jamii Forums mobile app

Rejea alichosema mwandishi...

Katika azimio lao vyama hivyo vimesema mradi huo mkubwa wa kuzalisha nishati ya umeme utavuruga mfumo wa mto mmojawapo mkubwa barani Afrika."

Cc: mahondaw
 
Wewe jamaa unaongea vitu gani hapa? Umesema German Wanahofia kuharibika mto Nile, nimekupa darasa kwamba mto Rufiji hauna uhusiano na mto Nile, ukaniletea ka phrase kuhusu "moja ya mito mikubwa Africa" nikakuambia mto wenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawatts 2000 sio mto mdogo, sasa unataka nini?

We sepa bana nishakwambia Nile na Rufiji are two different planets, inatosha.
 

Wapi nimesema German wanahofia kuharibika River Nile.

Nimenukuu mwandishi alichosema... nikasema wanahofia kuharibu River Nile...

Soma vizuri kilichandikwa na mwandishi, elewa alafu ndiyo ujibu kulingana na bandiko...

Jioni njema...


Cc: mahondaw
 
Wapi nimesema German wanahofia kuharibika River Nile.

Nimenukuu mwandishi alichosema... nikasema wanahofia kuharibu River Nile...

Soma vizuri kilichandikwa na mwandishi, elewa alafu ndiyo ujibu kulingana na bandiko...

Jioni njema...


Cc: mahondaw
Ramani ya River Nile

Ramani Rufiji River

Yaani sijui hata unaongea nini hapo, mmoja unaelekea kaskazini mwingine Mashariki na imetengana kwa umbali wa zaidi ya kilometers 2000.

Dah hizi shule hizi
 
Hujui kusoma? Rejea kwenye comment yenyewe hutaona popote nilipotaja mjerumani kando na kuongea kuhusu wakoloni niliposema 'hao hao'. 1977 mlifanya 'ammendments' kwenye katiba ya Tz, kwa mara ya nne. Ammendments unajua maana yake ni nini? Sio katiba mpya acha ushamba. Soma kuhusu nchi yako usije ukajiabisha tena.
 
Ramani ya River Nile View attachment 1000343

Ramani Rufiji River View attachment 1000344

Yaani sijui hata unaongea nini hapo, mmoja unaelekea kaskazini mwingine Mashariki na imetengana kwa umbali wa zaidi ya kilometers 2000.

Dah hizi shule hizi

"Katika azimio lao vyama hivyo vimesema mradi huo mkubwa wa kuzalisha nishati ya umeme utavuruga mfumo wa mto mmojawapo mkubwa barani Afrika."

Cc: mahondaw
 

Mto mmojawapo mkubwa barani Afrika ndio mto Nile?[/QUOTE]


Kwa mtazamo wako wewe ni mto upi hapo mkubwa Barani Africa uliyopo au unaoanzia Tanzania?

Cc: mahondaw
 

Em kwenye hii preliminary nioneshe sehemu ya katiba ya German na nioneshe ammendments zake hapo japo kwa u chache
 

Attachments

  • IMG_2019_01_20_05_38_29.png
    16.2 KB · Views: 18
Mto mmojawapo mkubwa barani Afrika ndio mto Nile?


Kwa mtazamo wako wewe ni mto upi hapo mkubwa Barani Africa uliyopo au unaoanzia Tanzania?

Cc: mahondaw[/QUOTE]
Mimi nimekuuliza "Mto mmojawapo mkubwa barani Afrika" ndio mto Nile? Bado hujajibu

Anyway potezea
 
Kwa mtazamo wako wewe ni mto upi hapo mkubwa Barani Africa uliyopo au unaoanzia Tanzania?

Cc: mahondaw
Mimi nimekuuliza "Mto mmojawapo mkubwa barani Afrika" ndio mto Nile? Bado hujajibu

Anyway potezea[/QUOTE]

Kutokana na mradi upo Tanzania, kwenye moja wapo ya mto uliyopo Tanzania...

Mto mmoja wapo mkubwa barani Africa tunaanzia mto Nile...

Cc: mahondaw
 
Umepanua domo lako na kutoa mitusi kwa kitu usichokijua, katiba ya sasa tunayotumia ni matokeo ya sheria zilizoanza kutumiwa na ujeruman baada ya kutawala Tanganyika, mfano wa sheria tulizorithi kwa wajeruman na ambazo zilifanyiwa amendments mbalimbali na nyingine had leo zina contents zao ni Land ordinance (1922), births and deaths registration ordinance (1920) marriage ordinance (1921) company ordinance (1921)
Uache kubwatuka kwny vitu usivyovijua na jitahid kuzuia hisia
Taahira wewe, katiba ya kikoloni inawezaje kutumika kwenye Taifa la kidemokrasia la kijamaa? Acha uchoko kudiscuss mambo yaliyokuzidi akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…