#COVID19 AFRIKA KUSINI: Kampuni ya Chanjo ya COVID-19 ya Aspen mbioni kufungwa kutokana na kukosa wateja

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Mtendaji wa Kampuni hiyo ambayo iliingia mkataba wa kufungasha, kuuza na kusambaza chanjo ya Johnson & Johnson barani Afrika amesema kuwa wapo mbioni kufunga kwa kuwa hawajapokea oda yoyote kwa kipindi kirefu

Vile vile Shirika la juu la afya ya umma barani Afrika limewataka wale wote wanaonunua chanjo ya #COVID-19 barani humo kuagiza katika kampuni ya Aspen Pharmacare ya Afrika Kusini, likisema soko ni muhimu katika kuendeleza utengenezaji wa chanjo katika bara hilo.

Aidha, Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kilisema kinafanya kila linaloweza nyuma ya pazia kuzuia Aspen kutofunga kituo chake

.............................................

Africa’s top public health body has urged all those buying COVID-19 vaccines for the continent to place orders with South Africa’s Aspen Pharmacare, saying the market was key to developing vaccine manufacturing on the continent.

The Africa Centre for Disease Control and Prevention (CDC) said it was doing everything it could behind the scenes to prevent a situation where Aspen closes its facility due to a lack of orders.

Aspen has negotiated a licensing deal to package and sell Johnson & Johnson’s COVID-19 vaccine and distribute it across Africa.
This was hailed as a game-changing moment for an under-vaccinated continent frustrated by sluggish Western handouts, but Aspen’s COVID-19 vaccine plant now risks shutting down after receiving not a single order, a company executive said on Saturday.

“We have said from the very beginning of the conversation on local production that market, market, market is the key to ensuring that we have a thriving local production, manufacturing enterprise,” said Ahmed Ogwell Ouma, deputy director of the Africa CDC.

“Our message is that we need to have all those who are purchasing vaccines at the global level for African countries, they need to purchase those from African producers first,” he said at a regular media briefing.

Source: Aljazeera
 
yaani hakuna nchi nisiyoipenda kama south africa, nimeidharau mno.
 
Kufanya nyuma ya pazia maana yake nini ?.Watatulazimisha au kutuhadaa ili watudunge.
 
Kati ya sehemu Covid imepata tabu, basi ni Afrika...
 
Siwatengeneze dawa zengine ambazo zinashabiliana na hizo chanjo.
Siyo lazima kutengeneza chanjo ya corona, watengeneze dawa zingine nyingi zinazotibu magonjwa ya mlipuko na magonjwa mengine.
 
Covid ni ugonjwa ulioko kwenye midomo ya wanasiasa zaidi kuliko uhalisia wake.

Sasa hivi wanasiasa wako Ukraine vs Russia...covid nayo imesubiri.
Wakimaliza vita wakiigusa tu, nayo itaamka tena.
 
Vita ya Ukraine ikiendelea hivi tutaanza kusafiri bila masharti ya chanjo
 
Nina miaka 15 sijaingiza sindano mwilini mwangu,kadri tunavyoenda nataka nikaze zaidi msimamo wa sindano.
Hawa wajanja watazusha la kuzusha ili mradi watu wa chanje,cdc na who ipo tyr kusema uongo wwte ili mradi tu una maslahi kwao.
 
Back
Top Bottom