Afrika kusini kunani kwenye soka?

Afrika kusini kunani kwenye soka?

uhurubado

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2007
Posts
904
Reaction score
1,021
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Hii nchi mara baada ya kwisha ubaguzi wa rangi ilikuwa moto kwenye soka. Ilishiriki fainali za mataifa ya Africa na kombe la Dunia. Ilikuwa na wachezaji nguli kama Siyabonga Nonvete, Mark Fish, Quintone Fortune na baba lao Lucas Radebe. Lakini siku hizi wamekuwa wa kawaida sana, hawana tofauti na sie. Ni chepi kimewasibu hawa ndugu zetu?
 
sio soka tu, hawa jamaa wanarudi nyuma kwenye kila kitu kuanzia kiuchumi mpk kisiasa
 
Back
Top Bottom