spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
AFRIKA KUSINI nae ana Pts: 3 pia ana Gd: -1 hivi kutembelea ktk thin ICE.
Kama Angola itashinda au kutoka Suruhu au Sare basi SA na yeye anaungane na Jamaa zetu kufungasha virago.
Angola ina Pts: 2 Gd: 0
Ili Africa Kusini wasonge ni Lazima Angola Afungwe bila hivo SA wanatembea.
Hebu tutege maskio, nini kitafuata.