AFRIKA KUSINI: Oscar Pistorius aongezewa kifungo kutoka miaka 6 hadi 13

AFRIKA KUSINI: Oscar Pistorius aongezewa kifungo kutoka miaka 6 hadi 13

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mahakama kuu ya rufaa nchini Afrika Kusini imemuongezea adhabu ya kukaa jela mwanariadha na mshindi wa Olimpiki Oscar Pistorius kutoka miaka 6 hadi 13.

Waendesha mashtaka wasema kifungo cha miaka 6 kwa mtu aliyefanya mauaji ni kidogo mno


======

A South African court has increased Olympic athlete Oscar Pistorius's jail sentence for killing his girlfriend to 13 years and five months.

Prosecutors had argued that the six-year term for murdering Reeva Steenkamp was "shockingly light". A spokesman for Ms Steenkamp's family said the ruling "verified there was justice".

Pistorius claimed he shot dead Ms Steenkamp on Valentine's Day in 2013 after mistaking her for a burglar.

The Supreme Court of Appeal in Bloemfontein has now given him the minimum 15 years prescribed for murder in South Africa, less time already served.

The lower court had justified the six-year sentence by citing mitigating circumstances such as rehabilitation and remorse. It said they outweighed aggravating factors such as his failure to fire a warning shot.

The athlete was not in court to hear the decision.

He was initially given a five-year term for manslaughter in 2014, but was found guilty of murder on appeal in 2015.

- BBC Sports
 
Huyu jamaa ana gundu sana, kwanza walimuhukumu kifungo cha nyumbani wakaona haitoshi, wakampeleka jela 6yrs na sasa imekua 13, acha tu apotee yule mtoto aliyemuua hata Mimi nilikua namuelewa sana!
 
Mahakama kuu ya Rufaa nchini South Africa imemuongeza kifungo mwanariadha Oscar Pistorius kufikia miaka 13 jela kwa kesi ha mauaji ya mchumba wake Reeva Steenkamp yaliyotokea 2013.
.
"Hukumu iliyotolewa na mahakama kuu kutokana na kesi ya mauaji imebatilishwa na sasa hukumu mpya ni miaka 13 jela na miezi 5,” alisema Jaji wa mahakama ya rufaa Justice Legoabe Willie Seriti.
.
Jaji Justice alisema kwamba Pistorius ilibidi ahukumiwe jela miaka 15 lakini mahakama ya rufaa iliangalia na muda ambao ameshakaa jela tayari.
.
Mara ya kwanza, Oscar alipewa hukumu ya miaka 6 kabla ya rufaa ambayo leo imetolewa hukumu.
23845757_1685007551563183_2397444417813238349_o.jpeg
 
Huyu jamaa ana gundu sana, kwanza walimuhukumu kifungo cha nyumbani wakaona haitoshi, wakampeleka jela 6yrs na sasa imekua 13, acha tu apotee yule mtoto aliyemuua hata Mimi nilikua namuelewa sana!

Huyu Bwana ukiangalia au kama umefuatilia Hoja za Mwendesha mashitaka utapatwa na uchungu ! Huyu bwana alimuua yule demu kwa Hasira lakini akijua alichokuwa anafanya.
 
Uyu kwa jinsi nilivomwona kwa mara ya kwanza ni mtu mwenye roho mbaya,,
 
Jamaa alikua anaingia kwenye utajiri mkubwa sana,but soon makampuni yakajitoa kwake..ama kweli mbuzi wa masikini....
 
Back
Top Bottom