Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani.

Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na vurugu kubwa Afrika Kusini kwa wiki kadhaa ambapo zaidi ya watu 300 walipoteza maisha na mali zenye thamani ya mabilioni (kwa fedha za Nchi hiyo) kuibiwa.
===

Electronics giant Samsung has "blocked" TVs that were stolen in South Africa during the unrest in July, rendering them unusable.

The company says it has an inbuilt “block function” on its TVs that can be used to remotely disable the sets.

The function is activated when a user of a stolen TV or one that has been acquired unlawfully connects to the internet, according to Samsung.

The system checks the identified TV’s serial number against the list on its servers before disabling its functionality.

South Africa had weeks of violent protests and looting last month that left more than 300 people dead and property worth billions of rands ransacked.

Some of the reportedly popular items that were stolen were smart TVs.

The ability to remotely disable TV function has received some praise among online users for its potential use to deter crime, with some also noting its potential for abuse.

Source: BBC
 
Wakati huo watanzania na wataalamu wao uchwara wapo busy kuishambulia serikali na kujadili chochote kinachokuja mbele yao
 
unanikumbusha jozi kuna jamaa walipiga nusu kontena la simu za iphone na kuziua zilikuwa full box.
bahati mbaya kumbe mzigo ulikuwa unaingia apple store ya apple.

walichofanya database ya IME zote zile simu zilikuwa blacklist kufungia mpaka simu yenyewe.

hakuna cha icloud wala lolote.

ikabidi watu kuuza spare tu .hata bongo zilikuja
 
Hapo Ndiyo Utajua Technology Ina Nguvu Kubwa Pia Serikali Za Wenzetu Zipo Mbele. Home Sweet Home Tanzania Tunaibiwa Simu Na Kuipata Mpaka.......[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji2][emoji3]🤣[emoji16]
[emoji91] [emoji91]
 
Hapo Ndiyo Utajua Technology Ina Nguvu Kubwa Pia Serikali Za Wenzetu Zipo Mbele. Home Sweet Home Tanzania Tunaibiwa Simu Na Kuipata Mpaka.......😂😂😀😀😁😁😃😀🤣😁
Kabisa Kennedy
 
utaitumiaje sasa, si lazima uangalie SABC na channel zingine, ukiweka on tu, basi ni kasha la kutupa
unaitumia bila internet mkuu.... waweza cheki muvi kwa kutumia flash au external, hizo sabc waweza zicheki kwa kingamuzi, huko internet utapigwa pin kama unataka kucheku youtube, netflix, n. k
 
nimekupata, basi kwa hiyo utatmia kwa kiasi hicho
 
Hapo Ndiyo Utajua Technology Ina Nguvu Kubwa Pia Serikali Za Wenzetu Zipo Mbele. Home Sweet Home Tanzania Tunaibiwa Simu Na Kuipata Mpaka.......😂😂😀😀😁😁😃😀🤣😁
pamoja na hayo hao samsung wana rekodi sauti na video bila idhini ya watumiaji usipojua ku turn off baadhi features kila ufanyalo au uongeacho mbele ya smart tv yako wanacho mbaya zaidi unapodhani umeizima kumbe inaendelelea kuwa on
 
Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma, kuhukumiwa na kuanza kutumikia kifungo cha miezi 15 gerezani.

Hukumu ya Zuma ilipelekea maandamano na vurugu kubwa Afrika Kusini kwa wiki kadhaa ambapo zaidi ya watu 300 walipoteza maisha na mali zenye thamani ya mabilioni (kwa fedha za Nchi hiyo) kuibiwa.
===

Electronics giant Samsung has "blocked" TVs that were stolen in South Africa during the unrest in July, rendering them unusable.

The company says it has an inbuilt “block function” on its TVs that can be used to remotely disable the sets.

The function is activated when a user of a stolen TV or one that has been acquired unlawfully connects to the internet, according to Samsung.

The system checks the identified TV’s serial number against the list on its servers before disabling its functionality.

South Africa had weeks of violent protests and looting last month that left more than 300 people dead and property worth billions of rands ransacked.

Some of the reportedly popular items that were stolen were smart TVs.

The ability to remotely disable TV function has received some praise among online users for its potential use to deter crime, with some also noting its potential for abuse.

Source: BBC
sasa mbona kwenye simu tunapigwa tu? au akili hiyo ni kwa tv tu?
 
Back
Top Bottom