Hata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..sasa mbona kwenye simu tunapigwa tu? au akili hiyo ni kwa tv tu?
Watatafuta namna ya kuzi unloackHapo Ndiyo Utajua Technology Ina Nguvu Kubwa Pia Serikali Za Wenzetu Zipo Mbele. Home Sweet Home Tanzania Tunaibiwa Simu Na Kuipata Mpaka.......[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji2][emoji3][emoji1787][emoji16]
Nahitaji pisi nneHata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..
Ila zinafunguka.
IPhone pekee hazifunguki...hata nje ya south Africa.
Hata kwa TV halikadhalika zikifungwa ,,zikiwa nje ya south zinatumika..
Mh sasa kwangu....watafaidika nnpamoja na hayo hao samsung wana rekodi sauti na video bila idhini ya watumiaji usipojua ku turn off baadhi features kila ufanyalo au uongeacho mbele ya smart tv yako wanacho mbaya zaidi unapodhani umeizima kumbe inaendelelea kuwa on
Kwahiyo, swali langu bado lipo palepale.Hata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..
Ila zinafunguka.
IPhone pekee hazifunguki...hata nje ya south Africa.
Hata kwa TV halikadhalika zikifungwa ,,zikiwa nje ya south zinatumika..
Watu wanajifanya wanajua kuliko waliounda hio TV. Programmable system ni rahisi ku itwist unavyotaka.utaitumiaje sasa, si lazima uangalie SABC na channel zingine, ukiweka on tu, basi ni kasha la kutupa
Watu wanajifanya wanajua kuliko waliounda hio TV. Programmable system ni rahisi ku itwist unavyotaka.
Nikama gari za Tesla hakuna ataekuja kuziiba.
Kama spare its okay watazitumia lakini sio spare ambazo ni programmable wataziloki kweupe.
Halafu hilo zoezi yawezekana lilifanywa wakati wamejisahau.
Noma..unanikumbusha jozi kuna jamaa walipiga nusu kontena la simu za iphone na kuziua zilikuwa full box.
bahati mbaya kumbe mzigo ulikuwa unaingia apple store ya apple.
walichofanya database ya IME zote zile simu zilikuwa blacklist kufungia mpaka simu yenyewe.
hakuna cha icloud wala lolote.
ikabidi watu kuuza spare tu .hata bongo zilikuja
Zinategemea software ili zifanye kazi mfano OS and other software. Kwa hio kuviuzuia visifanye kazi ni simple tu kwa sababu wanaweka madirisha ya kupenya na kuingiia kwenye mfumo.Mimi ni mbumbumbu wa hivi vitu ebu nielimishe hicho ulichokisema.... programmable system??? etc
Wanai-blacklist hata kama hujawahi kuiwasha.Ni hadi ui connect kwenye internet, hapo mwenye akili haji kutumia net
Hivi smart tv unaweza kuitumia bila internet?Ni hadi ui connect kwenye internet, hapo mwenye akili haji kutumia net
ndio, hata simu iliyoibiwa inaweza kutumika kucheza games, kupiga picha, kucheki muvi, n.k ila ukipachika tu laini ushajulikanaHivi smart tv unaweza kuitumia bila internet?